Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
african photographers, writers and artists find their voice in blogs · global voices
wapiga picha wa kiafrika, waandishi na wasanii wapata sauti zao kwenye blogu
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
if it was a good experience for these amateur photographers, that was not the case for audrey carlalie .
kama huo ulikuwa ni uzoefu mzuri kwa wapiga picha hawa wasio na utaalamu mkubwa, basi haikuwa hivyo kwa audrey carlalie .
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
every photo shared under this hashtag is retweeted by hundreds of twitter users, giving the photographers a very wide audience.
kila picha iliyowekwa katika alama ishara hiyo ya twita hutwitiwa tena (retweeted) na mamia ya watumiaji wa twita, kuwawezesha wapiga picha hao kupata hadhira kubwa zaidi.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
the sharp eyes of blogger-photographers have captured moments and scenes in the streets of iran where people promote their favorite candidates and political demands.
macho makali ya wanablogu-wapiga picha yamenasa nyakati na taswira katika mitaa ya irani ambako watu waliwapigia debe wagombea wanaowapenda pamoja na madai yao ya kisiasa.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
@telefone:bombs being thrown at photographers and at the gas station located at the cross streets of consolação and maria antonia.
@telefone: mabomu yanatupwa kwa wapiga picha na kurushwa katika kituo cha gesi kilichopo katika njia panda ya mitaa ya consolação na maria antonia.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
the project belongs to a team of ten photographers in and around kathmandu, led by photographer sumit dayal and writer tara bedi, who launched the initiative shortly after the april 25 earthquake.
mradi huu unamilikiwa na kundi la wapiga picha 10 wanaotoka nje pamoja na wale wa kathmandu, linaloongozwa na mpiga picha sumit dayal na mwandishi tara bedi, ambaye alizindua mradi huu siku chache mara baada ya kutokea kwa tetemeko la ardhi la tarehe 25 aprili.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
using crowdsourced photos, contributing photographers retell the story of life after the earthquakes: the devastation, rescue, relief, reconstruction, and the rays of hope for the future.
wakitumia mtindo wa ukusanyaji wa picha kutoka katika maeneo tofauti, wapiga picha katika mradi huu wanasimulia simulizi za maisha ya baada ya kutokea kwa tetemeko la ardhi: uharibifu, uokozi, misaada, ujenzi mpya, pamoja na miale ya matumaini kwa nyakati zijazo.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
#bahrain when you arrest .. a rebel, a tweeter, a photographer etc .. you're making a symbol out of him you fools and he will be stronger.
#bahrain unapokamata...muasi, mtumiaji wa twita, mpiga picha nk...unamtengenezea alama ya ushujaa nyie wajinga na atakuwa imara zaidi.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: