Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
questionable
kutiliwa shaka
Letzte Aktualisierung: 2024-01-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
in particular, drinking alcohol beverages in a questionable company.
kunywa pombe mingi
Letzte Aktualisierung: 2017-10-27
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
yet their actions on this issue are deemed to be questionable.
lakini bado, vitendo vyao katika suala hili vinaibua maswali mengi kuliko majibu.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
the structure which they built will remain questionable in their hearts, until their hearts are stopped.
na jengo lao hilo walilo lijenga litakuwa sababu ya kutia wasiwasi nyoyoni mwao mpaka nyoyo zao hizo zikatike vipande vipande.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
tanzania's reputation as a peaceful country is indeed becoming increasingly questionable with these recent events.
sifa ya tanzania kama nchi ya amani inaendelea kumomonyoka kwa kasi kufuatia matukio haya ya hivi karibuni.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
the new law has triggered ridicule on china's most popular microblogging website sina weibo, with many quipping that the enforcement of the law is questionable and visiting parents should be a moral issue to be encouraged rather than a law that should be enforced.
katika tovuti ya jukwaa maarufu la kublogu la nchini china, sina weibo, sheria hii mpya imeonekana kudhihakiwa ambapo wengi wanakejeli kwa kusema kuwa utekelezaji wa sheria hii una walakini kwani kuwatembelea wazazi lilipaswa kuwa jambo la kijamii lililohitaji uhamasishaji wa kawaida badala ya kushurutishwa kwa sheria.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
however, the last year has been especially hard on nigeria's reputation abroad: over the past few months, a series of events depicting nigeria in a questionable light have triggered discussions throughout the blogosphere.
hata hivyo, mwaka uliopita umekuwa mgumu kwa watu wa najeria walio ughaibuni: katika miezi michache iliyopita, mfululizo wa matukio yanayoionyesha naijeria katika mwanga wa utata ulizua majadiliano kwenye ulimwengu wa blogu.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
as kate cronin-furman from the blog wronging rights points out, “everyone seems to be preparing for war anyway, probably on account of nkunda's previously-demonstrated questionable grasp of the word cease-fire.”
kama ambavyo kate cronin-furman kutoka blogu ya wronging rights anavyodokeza, "kila mmoja inaonekana kuwa anajiandaa na vita, pengine kwa vile nkunda huko nyuma amewahi kuonyesha kutoelewa maana ya neno usitishwaji wa mapigano."
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung