Sie suchten nach: refusing (Englisch - Swahili)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Englisch

Swahili

Info

Englisch

then you turned away, except a few of you, and you were refusing.

Swahili

kisha mkageuka isipo kuwa wachache tu katika nyinyi; na nyinyi mnapuuza.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

restaurants, transportation and other establishments refusing service to non-chinese citizens

Swahili

mikahawa, usafiri na biashara nyingine zinakataa kutoa huduma kwa raia wasio wa uchina

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

she was asking for her salary and the man, refusing, apparently pushed her out of anger.

Swahili

alikuwa akidai mshahara wake, mwanamume huyo alikataa, na ndipo kwa hasira, alimsukuma msichana huyo.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

refusing to accept the results declared by the electoral commission, the npp has decided to take the matter to the courts.

Swahili

kikigoma kuyakubali matokeo yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi, chama hicho kimeamua kulipeleka suala hilo katika vyombo vya sheria.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

levels of xenophobia have also risen in east asia, with some restaurants and other businesses in japan and china refusing service to foreign customers.

Swahili

viwango vya ubaguzi wa wageni vimeongezeka pia katika asia mashariki, na baadhi ya mikahawa na biashara nyingine nchini japani na uchina ikikataa kuwahudumia wateja wa kigeni.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

the authorities are refusing the transfer of mr. pourshajari to a medical facility and are depriving him of all his medications, in the hope that he will soon die.

Swahili

serikali inakataa kumsafirisha bw. pourshajari kwenda kupata huduma za matibabu na wanamnyima huduma hiyo, ili apoteze maisha.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

a new date with a year marked with a crisis in the education sector with 108 teachers refusing punitive transfer and education syndicates promising to make the decision fall and a minister who is very creative in making up crises and accumulating failure

Swahili

tarehe mpya imeingia kwenye historia kwa mgogoro katika sekta ya elimu ambapo walimu 108 wamegomea uhamisho wa adhabu na baraza la elimu likiahidi kufutilia mbali uamuzi huo pamoja na waziri huyu mbunifu katika kutengeneza matatizo na kulimbikiza makosa

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

among their demands were the “fulfillment of the minimum wage, health insurance and safety for workers, as well as refusing outsourcing.”

Swahili

baadhi ya madai yao, yalikuwa "kuongezwa kwa kima cha chini cha mshahara, bima ya afya na usalama kwa wafanyakazi, pamoja na kukataa misaada ya nje.”

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Englisch

if they get the better of you, they will not observe towards you any bond or treaty, giving you satisfaction with their mouths but in their hearts refusing; and the most of them are ungodly.

Swahili

nao wakikushindeni hawatazami kwenu udugu wala ahadi. wanakufurahisheni kwa midomo yao tu, na nyoyo zao zinakataa hayo.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

had allah known any good in them, he would have made them hear. and if he had made them hear, they would [still] have turned away, while they were refusing.

Swahili

na mwenyezi mungu angeli jua wema wowote kwao ange wasikilizisha, na lau ange wasikilizisha wangeli geuka wakapuuza.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

but they turned away [refusing], so we sent upon them the flood of the dam, and we replaced their two [fields of] gardens with gardens of bitter fruit, tamarisks and something of sparse lote trees.

Swahili

lakini wakaacha. tukawapelekea mafuriko makubwa, na tukawabadilishia badala ya bustani zao hizo kwa bustani nyengine zenye matunda makali machungu, na mivinje, na kidogo katika miti ya kunazi.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
8,884,410,079 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK