Google fragen

Sie suchten nach: risk factors (Englisch - Swahili)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Englisch

Swahili

Info

Englisch

introduced risk

Swahili

vishawishi hatarishi

Letzte Aktualisierung: 2015-11-25
Nutzungshäufigkeit: 1

Referenz: Anonym

Englisch

Inherent Risk

Swahili

Majanga yasiyoepukika

Letzte Aktualisierung: 2013-04-29
Nutzungshäufigkeit: 1

Referenz: Anonym

Englisch

There certain factors that make our elections unique.

Swahili

Kuna sababu zinazoufanya uchaguzi wetu kuwa wa pekee.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1

Referenz: Anonym

Englisch

How high is the risk?

Swahili

Uwezekano wa kupatwa na madhara ya kiafya ni mkubwa kiasi gani?

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1

Referenz: Anonym

Englisch

For the risk in Swahili

Swahili

maana ya risk kwa kiswahili

Letzte Aktualisierung: 2015-02-06
Nutzungshäufigkeit: 1

Referenz: Anonym

Englisch

Photo by Children At Risk Foundation

Swahili

Picha kwa hisani ya Asasi ya Watoto Walio Hatarini.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1

Referenz: Anonym

Englisch

Freedom of expression is at risk in Algeria.

Swahili

Uhuru wa maoni uko shakani Algeria.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1

Referenz: Anonym

Englisch

However, his kidnapping proves that anyone is risk.

Swahili

Hata hivyo, kutekwa kwake kunadhihirisha kuwa kila mmoja yu hatarini.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1

Referenz: Anonym

Englisch

Among the factors contributing to the problem are lack of alternative sentencing options at trial and delays in the administration of the criminal justice system.

Swahili

Miongoni mwa mambo yanayochangia tatizo ni ukosefu wa chaguzi za adhabu mbadala katika kesi na ucheleweshaji katika utawala wa mfumo wa makosa ya jinai.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1

Referenz: Anonym

Englisch

In fact, economic hardship is one of the key factors mentioned by the 700 million people worldwide who are eager to leave their countries of origin.

Swahili

Ni ukweli, kuwa hali ngumu ya uchumi ni moja ya sababu zilizotajwa na milioni 700 duniani ambao wako tayari kuhama kutoka nchi zao za asili.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1

Referenz: Anonym

Englisch

Morocco: Are Christians at Risk? · Global Voices

Swahili

Moroko: Je, Wakristu Wako Hatarini?

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1

Referenz: Anonym

Englisch

As if that has anything to do with her qualifications or with any of the factors that should be part of any discussion of Oronoz' gifts and talent.

Swahili

Utafikiri hali yake ya kimapenzi ina maana yoyote kwa sifa zake au iwe sababu yoyote ambayo yapaswa kuwa sehemu ya mjadala wa vipaji na uwezo wa Oronoz.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1

Referenz: Anonym

Englisch

Their researches led them to consider the weight of cultural values and principles strongly anchored into the collective psyche of African businessmen to evaluate the factors for success for African entrepreneurs.

Swahili

Utafiti wao uliwasababisha kuzingatia uzito wa maadili ya kitamaduni na kanuni ambazo zilizojikita katika mawazo ya kawaida ya wafanyabiashara wa Afrika ili kutathmini sababu za mafanikio ya wajasiriamali wa Afrika.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1

Referenz: Anonym

Englisch

This would put victims at risk and seeks to impose only a fine on the aggressor.

Swahili

Hii itakuwa kuweka waathirika katika hali ya hatari na inataka kulazimisha tu faini kwa mchokozi.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1

Referenz: Anonym

Englisch

Angie Ramos guest blogs at Tintero Político about the crisis in Ukraine and after analyzing different key factors involved concludes with the reaction of the internacional community:

Swahili

guest blogs ya Angie Ramos katika Tintero kuhusu mgogoro wa kisiasa nchini Ukraine na baada ya kuchambua mambo mbalimbali muhimu husika anahitimisha kwa majibu ya Jumuiya ya Kimataifa:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1

Referenz: Anonym

Englisch

It was a desperate, high-risk gamble by Shabaab to reverse its prospects.

Swahili

Ilikuwa ni karata ya kukata tamaa, isiyo na uhakika iliyochezwa na Al-Shabaab kujaribu kurudi kwenye malengo yake.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1

Referenz: Anonym

Englisch

Secretary General of the Madagascar Ministry of Health Philémon Tafangy recognized the risk:

Swahili

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya nchini Madagaska Philémon Tafangy alitambua hatari:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1

Referenz: Anonym

Englisch

And what the PAP does not realise is that this constant harping about the risk of failure has actually damaged Singapore.

Swahili

Na kile ambacho PAP haijakigundua ni kuwa huu upigaji kinanda kuhusu hatari ya kushindwa kwa hakika kumeiathiri vibaya Singapore.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1

Referenz: Anonym

Englisch

Border crossing has long posed a risk for journalists, especially with respect to the search of electronic devices.

Swahili

Kuvuka mipaka kiasi hicho kumetengeneza hatari kwa waandishi, hasa kwa kuzingatia matumizi ya vifaa vya kielekroniki .

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1

Referenz: Anonym

Englisch

Elections in Africa are a high risk affair and in the recent times, they have been a trigger of conflicts.

Swahili

Chaguzi barani Afrika ni suala lenye hatari zake na katika nyakati za hivi karibuni, chaguzi zimekuwa kichocheo cha migogoro.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1

Referenz: Anonym

Eine bessere Übersetzung mit menschlichen Beiträgen

Helfen Sie bei der Bewertung ähnlicher Suchen:

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:

Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK