Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
the lord has ruled
bwana ametamalaki
Letzte Aktualisierung: 2021-01-14
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
bn has ruled malaysia for the past half-century.
chama cha bn kimetawala malaysia kwa kipindi cha nusu karne.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
however the military has ruled thailand since may 2014.
hata hivyo, jeshi la nchi hiyo limetawala thailand tangu mei 2014.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
the presiding judge, named salavati, has not yet ruled in the case.
jaji anayesimamia kesi hiyo, anayeitwa salavati, bado hajatoa uamuzi katika kesi hiyo.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
the maximum chilean court ruled to partially annul the trial that convicted them.
mahakama kuu ya chile ilisimamia katika kuharakisha uchunguzi uliopelekea hukumu yao.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
you can imagine how much he will spend by the time his father has ruled this country for 5 years.
unaweza kuona kiasi gani atakitumia baba yake akiitawala nchi hii kwa miaka mitano.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
from gaza, hamas, which has ruled the strip since 2007, has fired missiles into israel.
kutoka gaza, hamas, ambayo imeutawala ukanda huo tangu mwaka 2007, ililipua makombora kwenda israeli.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
kim jong il, the north korean dictator who ruled the hermit kingdom for the past three decades, has died at the age of 69.
kim jong il, dikteta aliyetawala ufalme wa korea kaskazini kwa miongo mitatu, amefariki akiwa na umri wa miaka 69.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
samak was a controversial political figure who was legally removed from the top post last year when the court ruled that he violated the law for hosting a cooking tv show while holding a public position.
samak alikuwa mwanasiasa aliyewachanganya wengi ambaye aliondolewa madarakani kisheria kutoka nafasi ya juu kabisa wakati mahakama ilipoamua kuwa alivunja sheria ya kuendesha kipindi cha runinga cha mapishi wakati akiwa anashikilia nafasi ya umma.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
several possibilities for interspecies transmission of sars-cov-2 from animals to humans have to be ruled in or ruled out in future studies.
uwezekano kadhaa wa usambazaji wa sars-cov-2 baina ya viumbe kutoka kwa wanyama hadi kwa binadamu lazima uweze kukubalika au kukataliwa katika utafiti wa sku zijazo.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
denis sassou n’guesso, who has ruled the congo for about 25 years as head of state, is seeking another seven year term in power.
denis sassou n’guesso, ambaye ameitawala kongo kwa takribani miaka 25 kama mkuu wa nchi, anatafuta kipindi kingine cha miaka saba madarakani.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
morsi, who is a muslim brotherhood member, was the president of egypt for one year after the revolution, which overthrew hosni mubarak, who ruled egypt for more than 30 years.
morsi, ambaye ni mwanachama wa chama cha muslim brotherhood, alikuwa rais wa misri kwa mwaka mmoja baada ya mapinduzi, aliyomng'oa hosni mubarak, aliyeitawala nchi hiyo kwa zaidi ya miaka 30.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
the findings prompted a lively debate in social networks and on mainstream media, with many commenters questioning how so many ugandans could think the country, where president yoweri museveni has ruled for nearly three decades, was headed in the right direction.
matokeo haya yaliibua mjadala mzito kwenye mitandao ya kijamii na kwenye vyombo vikuu vya habari, na wachambuzi wengi walihoji iweje waganda wengi wafikiri nchi yao, iliyotawaliwa na rais yoweri museveni kwa karibu miongo mitatu, ilikuwa kwenye mwelekeo sahihi wa kimaendeleo.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
and in marking the probable end of the political career of the 77 year-old leader of the malawi congress party (mcp), john tembo, these elections also ended the era of the nationalist generation that has ruled malawi since 1964, a point also made by paul tiyambe zeleza.
na pia kuhusu uwezekano wa mwisho wa shughuli za kisiasa kwa kiongozi wa chama cha malawi congress party (mcp) mwenye umri wa miaka 77, bwana john tembo, uchaguzi huu pia ulihitimisha zama za viongozi wa kiuzalendo ambao wametawala malawi kuanzia mwaka 1964, jambo ambalo paul tiyambe zeleza pia ameling’amua.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz: