Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
he replied similarly.
naye akasema: salama!
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
similarly, the ignorant said the same thing.
na kadhaalika walisema wale wasio jua kitu mfano wa kauli yao hii.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
and similarly, we awakened them that they might question one another.
na kwa namna hii tuliwainua usingizini wapate kuulizana wao kwa wao.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
similarly is their relationship with fruit and vegetables, particularly in my region.
vivyo hivyo ni kuhusu uhusiano wao na matunda na mboga mboga, hasa katika mkoa wangu.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
and among people and moving creatures and grazing livestock are various colors similarly.
na katika watu, na wanyama, na mifugo, pia rangi zao zinakhitalifiana.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
and similarly we empower some of the oppressors over others – the recompense of their deeds.
ndio kama hivi tunawaelekeza madhaalimu wapendane wao kwa wao kwa sababu ya waliyo kuwa wakiyachuma.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
on 21 march 2020, cepheid similarly received eua from the fda for a test that takes about 45 minutes.
tarehe 21 machi 2020, cepheid pia ilipokea idhini sawa ya eua kutoka kwa fda kwa kipimo kinachochukua takriban dakika 45.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
similarly, no messenger came to those before them but they said: 'sorcerer, or mad'
basi ndio hivyo hivyo, hakuwajia kabla yao mtume ila walisema: huyu ni mchawi au mwendawazimu.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
as many pointed out, worldwide reactions have generally been much less noticeable in comparison to recent incidents of similarly large losses of lives.
kama wengi walivyoonesha, mwitikio wa dunia kwa ujumla umekuwa mdogo kwa kulinganisha na matukio ya watu wengi kupoteza maisha yao kwa wakati mmoja hivi karibuni.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
similarly, a reporter from inmediahk.net covering the news inside a tunnel on lung wo road was suddenly threatened by a police officer with pepper spray.
vivyo hivyo, mwandishi wa mtandao wa inmediahk.net aliyekuwa akiandika habari akiwa kwenye kinjia pembeni mwa barabara ya lung wo road alitishwa na polisi na bomba la maji ya kuwasha.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
similarly, whenever a noble messenger came to those before them they always said, “he is a magician or a madman.”
basi ndio hivyo hivyo, hakuwajia kabla yao mtume ila walisema: huyu ni mchawi au mwendawazimu.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
and if you mete out punishment, then punish similarly as you were afflicted; and if you patiently endure, then indeed patience is better for the patiently enduring.
na mkilipiza basi lipizeni sawa na vile mlivyo adhibiwa. na ikiwa mtasubiri, basi hakika hivyo ni bora zaidi kwa wanao subiri.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
an earlier study on diseased pangolins also reported the detection of viral contigs from lung samples, which turn out to be similarly related to sars-cov-2.
utafiti wa awali kwenye kakakuona waliokuwa wagonjwa pia uliripoti kugunduliwa kwa virusi katika sampuli za figo ambavyo, vilitokea kuwa na uhusiano na sars-cov-2.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
and similarly, we caused them to be found that they [who found them] would know that the promise of allah is truth and that of the hour there is no doubt.
na namna hivi tuliwa juulisha kwa watu wapate kujua ya kwamba ahadi ya mwenyezi mungu ni ya kweli, na kwamba saa haina shaka.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
and similarly we have made some as a trial for others – that the wealthy disbelievers upon seeing the needy muslims say, “are these whom allah has favoured among us?”
na hivi ndivyo tunavyo wajaribu wao kwa wao, ili waseme: ni hao ndio mwenyezi mungu amewafadhilisha miongoni mwetu?
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
let no man guilty of adultery or fornication marry and but a woman similarly guilty, or an unbeliever: nor let any but such a man or an unbeliever marry such a woman: to the believers such a thing is forbidden.
mwanamume mzinifu hamwoi ila mwanamke mzinifu au mwanamke mshirikina. na mwanamke mzinifu haolewi ila na mwanamume mzinifu au mshirikina.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
allah enlarges the sustenance (which he gives) to whichever of his servants he pleases; and he (similarly) grants by (strict) measure, (as he pleases): for allah has full knowledge of all things.
mwenyezi mungu humkunjulia, na humdhikishia, riziki amtakaye katika waja wake. kwa hakika mwenyezi mungu ni mjuzi wa kila kitu.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: