Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
image via shutterstock, copyright steve snowden
picha kupitia shutterstock, haki zote kwa steve snowden
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
the documents revealed by edward snowden indicate that they have implemented and even subverted internet technologies for spying on a global scale, not so much for the anti-terrorism fight as for commercial espionage.
nyaraka zilizofichuliwa na edward snowden zinaonyesha kwamba wametekeleza na hata kuhujumu teknolojia ya mtandao kwa upelelezi wa ngazi za kimataifa, si kwa minajili ya kupambana na ugaidi kama kama ambavyo imekuwa ikifanyika kwa upelelezi wa kibiashara.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
if you do have something important to hide, you're in good company; these are the same tools that edward snowden used to share his famous secrets about the nsa.
kama una kitu mihumu cha kuficha, basi umefika; hizi ni zana ambazo edward snowden alizitumia katika siri zake maarufu kuhusu sirika la ujasusi la marekani nsa.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
“from the policy landscape to the public narrative regarding free speech and privacy, the snowden revelations have strengthened the state's argument for surveillance.”
“kuanzia kwenye mwonekano wa sera hadi kwenye maelezo yanayotolewa kwa umma kuhusu uhuru wa habari na faragha, kutobolewa siri kulikofanywa na snowden kumeimarisha hoja za serikali nyingi kueteta vtendo vya udukuzi.”
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
this week's gv face comes to you live from são paulo, brazil where government, civil society and corporate representatives from around the world gathered this week at netmundial to hash out a "roadmap" for global internet governance in a post-snowden world.
mazungumzo ya gv juma hili yanakujia moja kwa moja kutoka são paulo, brazil mahali ambapo wawakilishi wa serikali, vyama vya kiraia na mashirika wamekusanyika kutoka duniani kote wiki hii katika kituo cha mkutano cha netmundial ili kutengeneza 'mwongozo' wa utawala wa kidunia wa mtandao wa intaneti katika kipindi hiki cha baada ya sakata la snowden.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung