Sie suchten nach: to guarantee (Englisch - Swahili)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

English

Swahili

Info

English

to guarantee

Swahili

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Englisch

Swahili

Info

Englisch

concern worldwide is able to guarantee that 100% of twestival funds will go direct to project costs.

Swahili

shirika la concern worldwide linaweza linaweza kuhakikisha kuwa 100% ya fedha za twestival zitakwenda moja kwa moja kwenye gharama za mradi.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

after increasing the prices of fuel and electricity, the government wants to guarantee that citizens will not find any money to set themselves on fire

Swahili

baada ya kuongeza bei ya mafuta na umeme, serikali inataka raia wake wakose kabisa fedha za kujilipua kwa moto

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

the iranian state has shut down iran's capital for five days and has mobilized 110,000 policemen to "guarantee nam security."

Swahili

dola la irani imelifunga jiji lake kuu kwa siku tano na imewatayarisha askari polisi wapatao 110,000 ili "kuhakikishia usalama mkutano wa nam."

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Englisch

where it is hard to guarantee the safety of our daughters inside our own homes, the thought of the 25.7% of female children who live on the streets is truly terrifying.

Swahili

pale inapokuwa vigumu kuhakikisha usalama wa mabinti zetu katika nyumba zetu wenyewe, suala la kufikiri kuhusu asilimia 25.7 ya wasichana wanaoishi mitaani kwa hakika ni la kuogofya sana.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

etecsa's strategy foresees access to these services from homes; however the company's initial priority has been to broaden the collective centers in order to guarantee access to a greater number of people.

Swahili

mkakati wa etecsa ni kuwa, siku zijazo mtandao upatikane hadi majumbani, hata hivyo, mpango wa awali wa kampuni ni kuongeza matawi yake ili watu wengi zaidi waweze kupata huduma.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

the day of the protests in budapest ended with two student events' participants marching to the chain bridge, where they held a forum, inviting the minister of human resources and the prime minister to guarantee that the students' demands are met.

Swahili

siku ya mwisho ya maandamano mjini budapest ilimalizika kwa matukio mawili ya wanafunzi washiriki kutembea hadi kwenye daraja ambalo majadiliano lifanyikia ilikumkaribisha waziri wa rasilimali watu pamoja na waziri mkuu ili wathibitishe kuwa madai yao yameshatekelezwa.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Einige menschliche Übersetzungen mit geringer Relevanz wurden ausgeblendet.
Ergebnisse mit niedriger Relevanz anzeigen.

Eine bessere Übersetzung mit
7,729,913,750 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK