Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
the tragic event occured by noon on sunday, may 18, 2014.
tukio hilo la kutisha lilitokea jumapili mchana, mei 18, 2014.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
the government has declared a day of mourning for such a tragic loss.
serikali imetangaza siku ya maombolezo kufuatia idadi kubwa ya watu kupoteza maisha.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
the syrian civil war, tragic as it is, has nothing to do with pakistan.
vita vya wenyewe kwa wenyewe syria, hatika hali mbaya ilivyo, haihusu pakistani kwa vyovyote vile.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
(the unicef) condemns the violence that resulted in these tragic and senseless deaths and injuries to children.
(unicef) inalaani vurugu ambayo ilisababisha maafa haya na vifo vya kipumbavu na majeraha kwa watoto.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
as malaysia grieves over another tragic crash, it seems inevitable that many citizens will again press the government to explain the mysterious disappearance of mh370.
wakati malaysia ikiomboleza kufuatia ajali nyingine ya ndege, inaonekana kuwa raia wengi wataendelea kuishinikiza serikali kueleza hali hiyo ya 'sintofahamu' iliyosababisha kupotea kwa kwa ndege mh370.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
in the wake of the tragic crash of malaysia airlines flight mh17 in eastern ukraine, condolences have poured in for the families of the 298 passengers and crew members who were on board.
kutokana na tukio la kuanguka kwa ndege aina ya mh17 ya shirika la ndege la malaysia, huko mashariki mwa ukraine, salamu za rambirambi zimekuwa zikitumwa kwa familia za abiria 298 pamoja na wafanyakazi waliokuwemo kwenye ndege hiyo.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
bloggers were among the first to spread the word about the tragic event, becoming the only stable media while major news websites stopped responding due to high traffic and tv channels were too slow to prepare any material on time.
wanablogu walikuwa ni miongozni mwa watu wa kwanza kusambaza habari kuhusu tukio hilo baya, na hivyo kuwa chombo cha habari imara wakati tovuti nyingi za vyombo vikubwa vya habari viliposhindwa kutoa huduma kutokana na msululu mkubwa (wa watumiaji wa mtandao) na idhaa za televisheni zilikuwa taratibu mno katika kutayarisha maudhui katika wakati unaotakiwa.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
the harshest consequence for many has been the politically motivated arrest of bloggers and online writers for their online and/or offline activities, in some tragic cases even leading to death.
matokeo mabaya zaidi ya vitendo hivyo yanapata hasa msukumo wa kisiasa na hivyo kusababisha ukamataji wa wanablogu na waandishi wengine wa mtandaoni kutokana na shughuli zao za mtandaoni na nje ya mtandao, katika baadhi ya matukio ya kusikitisha hata vifo vimetokea.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
today's announcement that the polish presidential couple killed in the tragic aircraft accident over smolensk last saturday would be buried on sunday at 2pm in krakow's wawel castle raised a lot of controversy.
tangazo la leo kuwa rais wa poland na mke wake, waliofariki katika ajali mbaya ya ndege huko smolensk jumamosi iliyopita, watazikwa siku ya jumapili saa 8 mchana katika kasri la wawel huko krakow limezua utata mkubwa.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
we are profoundly saddened by the tragic loss of life and the devastation caused by the floods in katesh village in manyara region. our thoughts and prayers are with those who have lost their lives, their loved ones and their homes. we stand united with the government and the entire nation, offering our support during this grievous moment.
tumesikitishwa sana na vifo vya watu na uharibifu uliosababishwa na mafuriko katika kijiji cha katesh mkoani manyara. mawazo na maombi yetu ni pamoja na wale ambao wamepoteza maisha yao, wapendwa wao na nyumba zao. tunasimama pamoja na serikali na taifa zima, kutoa msaada wetu wakati huu mgumu.
Letzte Aktualisierung: 2023-12-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: