Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
maroc : les étudiants réclament une réforme de l'enseignement
morocco: wanafunzi wadai marekebisho kwenye mfumo wa elimu
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
3.000 lycéens manifestent contre la réforme de l'enseignement au gabon
wanafunzi 3,000 wafanya maandamano dhidi ya mageuzi ya elimu nchini gabon
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
il leur enseigna beaucoup de choses en paraboles, et il leur dit dans son enseignement:
aliwafundisha mambo mengi kwa mifano, na katika mafundisho yake aliwaambia,
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
je pense qu'il est important de considérer quel enseignement fondamental sera bénéfique au plus grand nombre.
ninadhani ni muhimu kutafakari aina gani ya elimu ya msingi itawanufaisha watu wengi.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
les universités ont fermé pendant une semaine, mais ont ensuite repris avec l’enseignement en ligne.
vyuo vikuu vimefungwa kwa wiki moja, lakini ikaendelea na masomo mtandaoni baadaye.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
c'est pourquoi notre politique concernant la langue d'enseignement doit promouvoir le multilinguisme et non le monolinguisme.
hii ndiyo sababu sera yetu ya lugha ya kufundishia inatakiwa kukuza matumizi ya lugha zaidi ya moja, na sio kutumia lugha moja tu.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
ils persévéraient dans l`enseignement des apôtres, dans la communion fraternelle, dans la fraction du pain, et dans les prières.
hawa wote waliendelea kujifunza kutoka kwa mitume, kuishi pamoja kidugu, kumega mkate na kusali.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
les étudiants marocains veulent une réforme de l'enseignement - photo utilisée avec l'aimable autorisation de hassan ouazzani
wanafunzi wa morocco watoa wito kwa ajili ya mageuzi ya mfumo wa elimu - picha imetumiwa kwa idhini kutoka kwa hassan quazzani
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
divers acteurs du monde universitaire et numérique se retrouveront pour discuter de l’accès libre dans l’enseignement supérieur au kenya.
wasomi mbalimbali na wadau wa mitandao watakusanyika pamoja kujadili upatikanaji wa zana huru za kitaaluma katika elimu ya juu nchini kenya.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
il semble que l'enseignement d'irène ait poussé au moins un des ses enfants à endosser le même habit d'activiste.
yaelekea mafunzo ya irene yamemvuta walau mmoja wa watoto wake kuchukua mrengo wa uanaharakati kama alivyo yeye mwenyewe.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
les programmes d’enseignement préscolaire sont généralement conçus pour les enfants de moins de 3 ans et peuvent désigner les écoles maternelles et certains programmes de garderie.
masomo ya kiwango cha chekechea kwa kawaida huundwa kwa ajili ya watoto wenye umri wa chini ya miaka 3 yanaweza kurejelea masomo yote ya viwango vya chekechea na mipango fulani ya kutunza watoto nyakati za mchana.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
alors que de nombreuses écoles primaires et secondaires dans le monde ont fermé en raison du covid-19, les mesures concernant les programmes d’enseignement préscolaire ont été variables.
ingawa shule nyingi za msingi na sekondati zikiwa zimefunwa kote ulimwenguni kutokana na covid-19, hatua zinazoathiri mipango ya masomo ya chekechea zimekuwa tofauti.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
la fédération des syndicats de hong kong a lancé un appel à la grève des employés, et le syndicat de l'enseignement professionnel de hong kong comme le syndicat général des travailleurs sociaux de hong kong vont aussi lancer une grève des enseignants.
shirikisho la vyama vya wafanyakazi hong kong kimetoa wito wa mgomo wa wafanyakazi, chama cha walimu hong kong na chama kikuu cha wafanyakazi wa jamii wa hong kong nacho kitazindua mgomo wa walimu.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
pour la première fois, un pays d'afrique semble privilégier l'enseignement dans une langue africaine aux dépens d'une langue étrangère pour les élèves de tous les niveaux.
hatua hii inaonekana kuwa mojawapo ya maamuzi ya kwanza kwamba nchi ya afrika inaamua kufundisha wanafunzi wake kwa ngazi zote kwa kutumia lugha ya ki-afrika badala ya lugha za kigeni.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
enseignements
bwuana yesu iko
Letzte Aktualisierung: 2024-02-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: