Sie suchten nach: ombra (Italienisch - Swahili)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Italian

Swahili

Info

Italian

ombra

Swahili

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Italienisch

Swahili

Info

Italienisch

tra ombra costante,

Swahili

na kivuli kilicho tanda,

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Italienisch

all'ombra di un fumo nero

Swahili

na kivuli cha moshi mweusi,

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Italienisch

né l'ombra e la calura,

Swahili

wala kivuli na joto.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Italienisch

andate verso un'ombra di tre colonne

Swahili

nendeni kwenye kivuli chenye mapande matatu!

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Italienisch

essi e le loro spose, distesi all'ombra su alti letti.

Swahili

wao na wake zao wamo katika vivuli wameegemea juu ya viti vya fakhari.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Italienisch

tutte cose queste che sono ombra delle future; ma la realtà invece è cristo

Swahili

mambo ya aina hiyo ni kivuli tu cha yale yatakayokuja; ukweli wenyewe ndiye kristo.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Italienisch

lo trattarono da bugiardo. li colpì allora il castigo del giorno dell'ombra.

Swahili

basi walimkanusha, na ikawashika adhabu ya siku ya kivuli.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Italienisch

qui siamo all'ombra di un maestoso albero di banyan in salyantaar, vicino gorkha.

Swahili

sule hii inaendelea chini ya kivuli kizuri cha mti wa kibaniani huko salyantaar,karibu na gorkha.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Italienisch

È questo il giardino che è stato promesso ai pii: vi scorrono ruscelli, perennemente vi sono frutti e ombra.

Swahili

mfano wa bustani waliyo ahidiwa wachamngu, kati yake inapita mito, matunda yake ni ya daima, na pia kivuli chake.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Italienisch

il popolo immerso nelle tenebre ha visto una grande luce; su quelli che dimoravano in terra e ombra di morte una luce si è levata

Swahili

watu waliokaa gizani wameona mwanga mkubwa. nao walioishi katika nchi ya giza na kivuli cha kifo, mwanga umewaangazia!"

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Italienisch

ma appena seminato cresce e diviene più grande di tutti gli ortaggi e fa rami tanto grandi che gli uccelli del cielo possono ripararsi alla sua ombra»

Swahili

lakini ikisha pandwa, huota na kuwa mmea mkubwa kuliko mimea yote ya shambani. matawi yake huwa makubwa hata ndege wa angani huweza kujenga viota vyao katika kivuli chake."

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Italienisch

ogni buon regalo e ogni dono perfetto viene dall'alto e discende dal padre della luce, nel quale non c'è variazione né ombra di cambiamento

Swahili

kila kipaji chema na kila zawadi kamilifu hutoka mbinguni; hutoka kwa baba, muumba wa mianga, ambaye habadiliki wala hana alama yoyote ya ugeugeu.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Italienisch

fino al punto che portavano gli ammalati nelle piazze, ponendoli su lettucci e giacigli, perché, quando pietro passava, anche solo la sua ombra coprisse qualcuno di loro

Swahili

kwa sababu hiyo, watu walikuwa wakipeleka wagonjwa barabarani na kuwalaza juu ya vitanda na mikeka ili petro akipita, walau kivuli chake kiwaguse baadhi yao.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Italienisch

e sopra l'arca stavano i cherubini della gloria, che facevano ombra al luogo dell'espiazione. di tutte queste cose non è necessario ora parlare nei particolari

Swahili

juu ya hilo sanduku kulikuwa na viumbe vilivyodhihirisha kuweko kwa mungu, na mabawa yao yalitanda juu ya mahali ambapo dhambi huondolewa. lakini sasa, hatuwezi kusema kinaganaga juu ya mambo hayo.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Italienisch

coloro che invece hanno creduto e operato il bene, presto li faremo entrare nei giardini dove scorrono i ruscelli e in cui rimarranno immortali in perpetuo, avranno spose purissime e li introdurremo nell'ombra che rinfresca.

Swahili

na wale walio amini na wakatenda mema tutawaingiza katika pepo zipitazo mito kati yake kwa kudumu humo milele. huko watakuwa na wake walio takasika, na tutawaingiza katika vivuli vizuri kweli.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Italienisch

con quel che ha creato, allah vi ha dato l'ombra e ha fatto per voi rifugi nelle montagne. vi ha concesso vesti che vi proteggono dal calore e altre, che vi proteggono dalla vostra stessa violenza.

Swahili

na mwenyezi mungu amekufanyieni vivuli katika vitu alivyo viumba, na amekufanyieni maskani milimani, na amekufanyieni nguo za kukingeni na joto, na nguo za kukingeni katika vita vyenu.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Italienisch

abbeverò per loro, poi si mise all'ombra e disse: “davvero, signore, ho molto bisogno di qualsiasi bene che farai scendere su di me”.

Swahili

basi musa akawanyweshea; kisha akarudi kivulini, na akasema: mola wangu mlezi! hakika mimi ni mhitaji wa kheri utakayo niteremshia.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
7,802,481,988 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK