Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
dixitque ad illos viri israhelitae adtendite vobis super hominibus istis quid acturi siti
kisha akawaambia wale wajumbe wa baraza, "wananchi wa israeli, tahadhari kabla ya kutekeleza hicho mnachotaka kuwatenda watu hawa!
Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
adtendite vobis si peccaverit frater tuus increpa illum et si paenitentiam egerit dimitte ill
jihadharini! kama ndugu yako akikukosea, mwonye; akitubu, msamehe.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
adtendite a falsis prophetis qui veniunt ad vos in vestimentis ovium intrinsecus autem sunt lupi rapace
"jihadharini na manabii wa uongo. wao huja kwenu wakionekana kama kondoo kwa nje, lakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
adtendite vobis et universo gregi in quo vos spiritus sanctus posuit episcopos regere ecclesiam dei quam adquisivit sanguine su
jihadharini wenyewe; lilindeni lile kundi ambalo roho mtakatifu amewaweka ninyi muwe walezi wake. lichungeni kanisa la mungu ambalo amejipatia kwa damu ya mwanae.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
adtendite a scribis qui volunt ambulare in stolis et amant salutationes in foro et primas cathedras in synagogis et primos discubitus in convivii
"jihadharini na walimu wa sheria ambao hupenda kupitapita wamevalia kanzu. hupenda kusalimiwa na watu kwa heshima masokoni, huketi mahali pa heshima katika masunagogi na kuchukua nafasi za heshima katika karamu.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
adtendite autem vobis ne forte graventur corda vestra in crapula et ebrietate et curis huius vitae et superveniat in vos repentina dies ill
"muwe macho, mioyo yenu isije ikalemewa na anasa, ulevi na shughuli za maisha haya. la sivyo, siku ile itawajieni ghafla.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung