Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
na atakuwa ameharibikiwa mwenye kubeba dhulma.
und bereits versagte jeder, der unrecht auf sich lud.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
na habebi mwenye kubeba mzigo wa mwenziwe.
und keine lasttragende (seele) nimmt die last einer anderen auf sich.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
maana kila mmoja anao mzigo wake mwenyewe wa kubeba.
denn ein jeglicher wird seine last tragen.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
saidianeni kubeba mizigo yenu na hivyo mtatimiza sheria ya kristo.
einer trage des andern last, so werdet ihr das gesetz christi erfüllen.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
na katika wanyama amekujaalieni wenye kubeba mizigo na kutoa matandiko.
auch (brachte er hervor) von den an'am trag- und schlachttiere.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
na kila nafsi haichumii ila nafsi yake. na habebi mwenye kubeba mzigo wa mwenziwe.
und keine seele erwirbt etwas außer für sich selbst, und keine verfehlende seele trägt die verfehlung einer anderen.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
kwa hiyo baadhi ya wayahudi wakamwambia huyo mtu aliyeponywa, "leo ni sabato, si halali kubeba mkeka wako."
da sprachen die juden zu dem, der geheilt worden war: es ist heute sabbat; es ziemt dir nicht, das bett zu tragen.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
wachimbaji wa makaa ya mawe sio tu kuwa waliangaza mitaa kwa taa walizokuwa wameziweka vichwani mwao, pia walitumia mwanga kwa waandamanaji kama ishara yenye kubeba maana pana zaidi.
die kohleminenarbeiter erhellten mit ihren stirnlampen nicht nur die straßen, sie waren für die demonstranten auch lichter im übertragenen sinne.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
mimi ninawabatizeni kwa maji kuonyesha kwamba mmetubu. lakini yule anayekuja baada yangu ana uwezo kuliko mimi. mimi sistahili hata kubeba viatu vyake. yeye atawabatizeni kwa roho mtakatifu na kwa moto.
ich taufe euch mit wasser zur buße; der aber nach mir kommt, ist stärker denn ich, dem ich nicht genugsam bin, seine schuhe zu tragen; der wird euch mit dem heiligen geist und mit feuer taufen.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
baada ya kampeni ya "mimi si mhafidhina" kwa heshima ya mohammad chaar na kampeni ya "mimi si uchi" kumwuunga mkono jackie chamoun mshindi wa olimpiki wa mchezo wa kuteleza kwenye barafu na kisha dhidi ya unyanyasaji wa majumbani, kampeni ya kupinga ubaguzi wa rangi inatumia namna inayofanana (kwa sasa ni ile ile) ya kuonyesha upinzani mtandaoni kwa kuwaonyesha wananchi wakiweka habari na picha zao zenye kubeba ujumbe.
nach der kampagne "ich bin kein märtyrer"" zu ehren von mohammad chaar und der aktion "ich bin nicht nackt" , die zunächst die olympische ski-rennläuferin jackie chamoun unterstützte und sich dann gegen häusliche gewalt richtete, greift die antirassistische kampagne auf dieselben (und nun bekannten) methoden des online-protests zurück und sammelt selbstportraits (auf englisch kurz "selfie"), die normale bürger posten und auf denen sie eine nachricht übermitteln.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung