Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
siku mtakapo geuka kurudi nyuma.
den tag, an dem ihr den rücken kehren werdet.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
nawakumbuka watu wangu. natumai naweza kurudi hivi karibuni
i remember them.
Letzte Aktualisierung: 2023-07-22
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
kama wangalikuwa wanaifikiria nchi walikotoka zamani, wangalipata nafasi ya kurudi huko.
und zwar, wo sie das gemeint hätten, von welchem sie waren ausgezogen, hatten sie ja zeit, wieder umzukehren.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
hivyo hakuna atakayeweza kwenda au kurudi kutoka kazini, shule n.k.
es kommt also niemand zur arbeit/nach hause, zur schule usw.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
na tungeli taka tunge wageuza sura hapo hapo walipo, basi wasinge weza kwenda wala kurudi.
und hätten wir gewollt, hätten wir sie verwandeln können, wo sie waren; dann wären sie nicht imstande gewesen, vorwärts oder rückwärts zu gehen.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
na mwenyezi mungu anajua mahali penu pa kwenda na kurudi, na mahali penu pa kukaa.
gott weiß, wo ihr umherzieht und wo ihr bleibt.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
basi alipo fika makamo ya kwenda na kurudi pamoja naye, alimwambia: ewe mwanangu!
als er alt genug war, um mit ihm zu arbeiten, sagte er.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
na utawaona wenye kudhulumu watakapo iona adhabu wanasema: je! ipo njia ya kurudi?
und du siehst die unrecht-begehenden, als sie die peinigung sahen, sagen: "gibt es zu einer rückkehr einen weg?"
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
mwanadada huyu angependa kurudi nchini liberia. anataka arudi huko kwa lengo la kuiona nchi yake au labda kuishi huko.
nach liberia würde sie gern zurückkehren, ihr land kennenlernen und vielleicht dort leben.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
baada ya hayo, akijisikia kutishiwa mjini luanda, alitafakari na kumdokeza siri hiyo kwa rafiki kuwa alitamani kurudi nyumbani.
danach, als sie sich in luanda bedroht fühlte, hat sie einem freund anvertraut, dass sie nach hause zurückkehren wollte.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
alikuwa akikimbia hatari ya kupoteza maisha yake, na ufumbuzi pekee aliokuwa nao ulikuwa ni kuondoka haraka angola, na kurudi nchini mwake.
ihr leben war gefährdet und die einzige lösung dafür war, angola sofort zu verlassen und zurückzukehren in ihr land.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
basi alipo fika makamo ya kwenda na kurudi pamoja naye, alimwambia: ewe mwanangu! hakika mimi nimeona usingizini kuwa ninakuchinja.
als dieser das alter erreichte, daß er mit ihm laufen konnte, sagte er: "o mein lieber sohn, ich sehe im schlaf, daß ich dich schlachte.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
na juu ya kumfufua kutoka wafu, asipate tena kurudi huko na kuoza, mungu alisema hivi: nitakupa baraka takatifu na za kweli nilizomwahidia daudi.
daß er ihn aber hat von den toten auferweckt, daß er hinfort nicht soll verwesen, spricht er also: "ich will euch die gnade, david verheißen, treulich halten."
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
inashangaza pale unapobaini ni ujasiri kiasi unaotakiwa katika kukabiliana na changamoto ya lugha, urasimu pamoja na mahusiano. inashangaza pale unapoabaini kuna wengi wanaotaka kurudi makwao lakini wanashindwa.
surprising, überraschend ist es, zu entdecken, wie viel kraft nötig ist, um sprachliche, bürokratische und zwischenmenschliche barrieren zu überwinden.surprising ist es, davon zu lesen, dass viele zurück nach hause möchten und nicht können.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
ambako alikaa kwa miezi mitatu. alipokuwa anajitayarisha kwenda siria, aligundua kwamba wayahudi walikuwa wanamfanyia mpango mbaya; hivyo aliamua kurudi kwa kupitia makedonia.
da aber ihm die juden nachstellten, als er nach syrien wollte fahren, beschloß er wieder umzuwenden durch mazedonien.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
tovuti hii imegawanywa katika makundi 6: kwenda kuishi ulaya, maisha ya ulaya, short on luck, kufanya kazi, kurudi nyumbani, mziki.
die website ist in sechs kategorien unterteilt: aufbruch nach europa, leben in europa, vom glück im stich gelassen, aktiv werden, rückkehr, musik.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
katika kurudi, mwanaharakati wa haki za binadamu maryam alkhawaja (binti wa takwimu jela upinzani abdulhadi alkhawaja) alitoa wito kwa ajili ya kugomea michezo ya olimpiki:
im gegenzug forderte die bahrainische menschenrechtsaktivistin maryam alkhawaja (tochter des inhaftierten oppositionellen abdulhadi alkhawaja) den boykott der olympiade:
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
wale wanaojaribu kurudi kwenye ardhi zao za asili wanakuta tayari serikali imeshaigawa ardhi hiyo kwa wawekezaji wa kigeni ambao kwa haraka haraka wanasafisha maeneo hayo kwa kuondoa mapori, mashamba yaliyokuwepo na vichaka ili kupata nafasi ya kulima mazao ya kibiashara kama vile ufuta, chai, viungo, mchele, na sukari, ambapo mazao mengi yanakusudiwa kuuzwa nje ya nchi.
wer versucht, in seine angestammten ländereien zurückzukehren, muss feststellen, dass die regierung sein land bereits an ausländische investoren verpachtet hat. diese machen sich eilig daran, wälder, höfe und sumpfgebiete mit bulldozern einzuebnen, um den kommerziellen anbau von biokraftstoffen, tee, gewürzen, reis und zuckerrohr betreiben zu können, meist für den export.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: