Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
pilato alipoarifiwa na huyo jemadari kwamba yesu alikuwa amekwisha kufa, akamruhusu yosefu auchukue mwili wake.
and when he knew it of the centurion, he gave the body to joseph.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
yule mkuu wa jeshi akamruhusu. hivyo paulo alisimama juu ya ngazi, akawapungia mkono wale watu na walipokaa kimya, akaanza kuongea nao kwa kiebrania.
and when he had given him licence, paul stood on the stairs, and beckoned with the hand unto the people. and when there was made a great silence, he spake unto them in the hebrew tongue, saying,
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
baada ya hayo, yosefu, mwenyeji wa armathaya, alimwomba pilato ruhusa ya kuuchukua mwili wa yesu. (yosefu alikuwa mfuasi wa yesu, lakini kwa siri, maana aliwaogopa viongozi wa wayahudi). basi, pilato akamruhusu. hivyo yosefu alikwenda, akauondoa mwili wa yesu.
and after this joseph of arimathaea, being a disciple of jesus, but secretly for fear of the jews, besought pilate that he might take away the body of jesus: and pilate gave him leave. he came therefore, and took the body of jesus.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: