Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
myahudi mmoja aitwaye apolo, mzaliwa wa aleksandria, alifika efeso. alikuwa mtu mwenye ufasaha wa kuongea na mwenye ujuzi mkubwa wa maandiko matakatifu.
and a certain jew named apollos, born at alexandria, an eloquent man, and mighty in the scriptures, came to ephesus.
lakini watu fulani wakatokea ili wabishane na stefano. baadhi ya watu hao walikuwa wa sunagogi moja lililoitwa "sunagogi la watu huru", nao walitoka kurene na aleksandria; wengine walitoka kilikia na asia.
then there arose certain of the synagogue, which is called the synagogue of the libertines, and cyrenians, and alexandrians, and of them of cilicia and of asia, disputing with stephen.