Sie suchten nach: alhamisi (Swahili - Englisch)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

alhamisi

Englisch

thursday

Letzte Aktualisierung: 2021-04-15
Nutzungshäufigkeit: 7
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

unahitaji kuungana nasi alhamisi hii?

Englisch

want to join us this thursday?

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

tarehe: alhamisi, julai 31, 2014

Englisch

date: thursday, july 31, 2014

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

raffaella toticchi aliyekuwa mjini niamey aliandika siku ya alhamisi mchana :

Englisch

raffaella toticchi in niamey wrote on thursday afternoon :

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

siku ya alhamisi, septemba 5, 2013, mambo yaliendelea kuwa mabaya zaidi.

Englisch

on thursday, 5 september, 2013, matters got even farther out of hand.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

tetemeko la ardhi lenye nguvu ukubwa wa 6.1 lilitokea nicaragua mnamo alhamisi aprili 10, 2014.

Englisch

a powerful 6,1 earthquake hit nicaragua on thursday, april 10, 2014.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

fanya hivyo alhamisi hii, oktoba 16 kwenye siku ya wajibu wa blogu duniani kwa kushirikiana na maelfu ya wanablogu wengine.

Englisch

do it this thursday, october 16 on blog action day together with thousands of other bloggers.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

korea kaskazini ilitangaza, kufikia alhamisi, kuwa ilikuwa mojawapo ya nchi chache ambazo hazikuwa na maambukizi ya virusi vya korona.

Englisch

north korea claimed, as of thursday, it was one of the few countries remaining free of coronavirus infections.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

mwanaharakati mashuhuri nchini misri na mwanablogu alaa abd el fattah alikamatwa akiwa nyumbani kwake takriban saa nne jioni mnamo alhamisi, novemba 28.

Englisch

prominent egyptian activist and blogger alaa abd el fattah was arrested in his home at approximately 10pm on thursday, november 28.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

mauaji hayo ya kinyama yalitokea huko dubai, uae, na hukumu iliyotolewa alhamisi imesababisha mshtuko na mshangao wakati wanablogu walipojaribu kukubaliana na yaliyotukia.

Englisch

the gruesome murder took place in dubai, uae, and thursday's sentence was met with shock and bewilderment as the blogosphere comes to terms with the verdict.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

hata hivyo, siku ya alhamisi mchana, wizara ya rasilimali watu ilitangaza kuwa wasingeweka bayana vigezo kwa mwaka huu (2012).

Englisch

on thursday afternoon, however, the ministry of human resources announced they wouldn't publish the requirements this year.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

alhamisi tarehe 25 machi 2010, mamia ya watu katika miji mingi duniani pamoja na accra watakutanika nje ya mtandao na kukusanya nguvu kwa ajili ya jambo muhimu la elimu kwa kuandaa matukio ya kufurahisha na kuelimisha umma.

Englisch

on thursday 25 march 2010, people in hundreds of cities around the world including accra will come together offline to rally around the important cause of education by hosting local events to have fun and create awareness.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

kufikia alhamisi, shirika la utangazaji marekani iliripoti kulikuwa na angalau visa 126,000 ya covid-19 ulimwenguni, iliyosababisha vifo zaidi ya 4,600.

Englisch

as of thursday, associated press reported there were at least 126,000 cases of covid-19 worldwide, resulting in over 4,600 deaths.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

kwenye tovuti ya lamula.pe, juan carlos urtecho anaeleza sababu zake za kuishangilia kodivaa kwenye mpambano wa kombe la dunia kati ya nchi hiyo na kolombia siku ya alhamisi, juni 19:

Englisch

on the website lamula.pe, juan carlos urtecho explains his reasons for supporting the ivory coast in the world cup match with colombia on thursday, june 19:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

alfajiri siku ya alhamisi, tarehe 4 machi 2010, mafuriko makubwa yaliikumba samburu huko kaskazini mwa kenya na kuharibu nyumba 6 za kulala watalii watalii, baadhi ya kambi za utafiti wa wanyama pori na kuwaacha maelfu wakiwa katika paa za nyumba na kwenye miti.

Englisch

at dawn on thursday, 4 march 2010, a massive flash flood hit samburu in northern kenya destroying 6 tourist lodges, some wildlife research camps and leaving thousands marooned on roof tops and on trees.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

rais john evans atta mills siku ya alhamisi aliikumbusha kampuni ya kosmos energy, moja ya makampuni yanayohusika na upatikananji wa mafuta ya taifa kwenye maeneo ya jubilee ya cape three points, kuwa werevu wa kijamii, kisheria na wajibu kibiashara ili kwamba watu wa mahali hapo waweze kuwa sehemu ya mchakato na kupata faida.

Englisch

president john evans atta mills on thursday reminded kosmos energy, one of the companies involved in the nation’s oil find in the jubilee fields of cape three points, to be mindful of social, legal and corporate responsibilities so that local people would be part of the process and feel its benefits.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

alhamisi nlikupigia simu mida flani hivi ya usiku ukanambia unakula ukimaliza utanitafuta,mida ya sasita kasoro hiv ukanipigia,ila sasa sijui niseme simu ilijipiga au wewe ndo ulipiga kwa sababu ulipiga na ukawa huongei kabisa ila naskia sauti ya movie tu nikasikiliza kwa muda mpk nikakata simu,, .na kusema kweli kuna kitu nlitaka nikuulize kwa sababu najua wewe ni mtaalamu unaelewa vizuri nilichokua nataka kukuuliza kwahiyo ungenisaidia lakini ndo kama hivo sikufanikiwa. kwahiyo kusema kweli nlijiskia vibaya sana kwa sababu nligundua kua mimi hua ni msumbufu sana na ninalijua hilo, ndo mana najitahidi kutokukusumbua sana saiv japo bado sjafanikiwa kabisa kuacha ila walau najitahid naamini nitaweza kuacha kua msumbufu.

Englisch

get over here

Letzte Aktualisierung: 2023-10-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Eine bessere Übersetzung mit
7,773,723,504 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK