Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
nilipotaka kumpiga picha, mara zote alijikuta katika kicheko na kisha alikimbia.
whenever i try to take her picture, she giggles and runs away.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
bassel alijikuta akikamatwa kwa sababu ya kuonekana kwake kama mtaalam wa teknolojia na mwanaharakati.
it was bassel's visibility as a technologist and activist that made him a target for detention.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
akiwa ameshitakiwa na gazeti lake mwenyewe, ghanem alijikuta mpweke asiye na msaada wowote wa chombo chochote cha habari nchini aljeria.
sued by his own newspaper, ghanem saw all the doors of algerian media closing in his face.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
katika makutano na polisi wa marrakech, mwanafunzi mwingine wa chuo kikuu, abdelkebir el bahi, alijikuta akitupwa kutoka orofa ya tatu kupitia dirisha la bweni.
in his encounter with the marrakech police, another university student, abdelkebir el bahi, found himself thrown from the 3rd floor window of a dorm.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
kulitokea majibizano pale kituoni na fodeil alijikuta akitupwa tena gerezaji, akituhumiwa "kuwatukana maofisa wa polisi wakati walipokuwa wakitimiza wajibu wao."
an altercation follows and fodeil ends up again in prison, accused of "insulting officers during the exercise of their function."
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
mbunge wa chama cha upinzani cha chadema, mheshimiwa joseph mbilinyi, alijikuta katika wakati mgumu pale alipokuwa akikabiliana kwa nguvu na majibizano na maafisa usalama wa bunge, tukio lililokuwa la kushangaza na la kuwaacha watu midomo wazi.
an opposition mp joseph mbilinyi of chadema found himself embroiled in a physical altercation with parliamentary security officers that surprised and shocked in equal measure.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: