Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
aliondoka muda mlefu
aliondoka muda mlefu
Letzte Aktualisierung: 2023-09-17
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
aliondoka kutoka kituo cha upangaji
departed from sorting center
Letzte Aktualisierung: 2023-08-01
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
baada ya siku mbili yesu aliondoka hapo, akaenda galilaya.
now after two days he departed thence, and went into galilee.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
baada ya hayo, paulo aliondoka athene, akaenda korintho.
after these things paul departed from athens, and came to corinth;
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
yesu aliondoka hapo akaenda katika kijiji chake, akifuatwa na wanafunzi wake.
and he went out from thence, and came into his own country; and his disciples follow him.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
basi, yesu aliondoka mezani, akaweka kando vazi lake, akachukua kitambaa na kujifunga kiunoni.
he riseth from supper, and laid aside his garments; and took a towel, and girded himself.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
kisha yesu aliondoka wilayani tiro, akapitia sidoni, akafika ziwa galilaya kwa kupitia nchi ya dekapoli.
and again, departing from the coasts of tyre and sidon, he came unto the sea of galilee, through the midst of the coasts of decapolis.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
mwezi agusti, loubna aliondoka katika mji aliokulia wa latakia, magharibi mwa syria na alisafiri kwa ndege hadi uturuki.
in august, loubna left her hometown of latakia, in western syria, fleeing across the border to turkey.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
wananchi wengi wa ivory coast walitoka kwenda kushuhudia burudani hizi pamoja na teknolojia inayotumika, na kila mtu aliondoka na picha za ukumbusho.
a great many ivorians went out to take advantage of these various spectacles and the supporting technology, and everyone left with souvenir photos.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
yesu aliondoka hapo, akaenda hadi wilaya ya tiro. huko aliingia katika nyumba moja na hakutaka mtu ajue; lakini hakuweza kujificha.
and from thence he arose, and went into the borders of tyre and sidon, and entered into an house, and would have no man know it: but he could not be hid.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
aliondoka nazareti, akaenda kafarnaumu, mji ulio kando ya bahari ya genesareti, mpakani mwa wilaya za zabuloni na naftali, akakaa huko.
and leaving nazareth, he came and dwelt in capernaum, which is upon the sea coast, in the borders of zabulon and nephthalim:
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
yesu aliondoka hapo pamoja na wanafunzi wake, akaenda kando ya ziwa, na umati wa watu ukamfuata. watu hao walikuwa wametoka yerusalemu, yudea,
but jesus withdrew himself with his disciples to the sea: and a great multitude from galilee followed him, and from judaea,
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
katika kipindi ambacho libya ilikuwa ikiharibiwa vibaya kutokana na mapinduzi yaliyotokea mwaka 2011, ndicho kipindi hicho hicho haifa el-zahawi aliondoka kuelekea marekani.
as libya was torn apart by a revolution in 2011, haifa el-zahawi left the country for the united states.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
mheshimiwa michael chilufya sata, rais wa jamhuri ya zambia, usiku wa jana aliondoka nchini kwa ajili ya kuchunguza afya yake ng'ambo mke wa rais dk christine kaseba, baadhi ya wanafamilia na msaidizi wake wa hotuba wameongozana na mkuu wa nchi.
his excellency, mr. michael chilufya sata, president of the republic of zambia, last night left for a medical check- up abroad first lady dr christine kaseba, some family members and his press aide have accompanied the head of state.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
lakini mungu aliondoka kati yao, akawaacha waabudu nyota za anga, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha manabii: enyi watu wa israeli! si mimi mliyenitolea dhabihu na sadaka kwa muda wa miaka arobaini kule jangwani!
then god turned, and gave them up to worship the host of heaven; as it is written in the book of the prophets, o ye house of israel, have ye offered to me slain beasts and sacrifices by the space of forty years in the wilderness?
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: