Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
alitaka kujadiliana naye,
she wanted to reason with him,
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
alitaka kuzuia utoaji mimba
she wanted to prevent abortion which were common at the time because abortion were illegal in united state
Letzte Aktualisierung: 2022-02-18
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
baba yangu alitaka kuuwawa na majambazi
Letzte Aktualisierung: 2024-04-25
Nutzungshäufigkeit: 2
Qualität:
Referenz:
barnaba alitaka wamchukue pia yohane aitwaye marko.
and barnabas determined to take with them john, whose surname was mark.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
pilato alitaka kumwachilia yesu, hivyo akasema nao tena;
pilate therefore, willing to release jesus, spake again to them.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
paulo mwenyewe alitaka kuukabili huo umati wa watu, lakini wale waumini walimzuia.
and when paul would have entered in unto the people, the disciples suffered him not.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
kwa mchoro huo, ghanem alitaka kutuma ujumbe kuwa wa-aljeria wamefanywa kama watoto.
with the drawing, ghanem wanted to convey the idea that algerians are treated like children.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
alex hakukaa kwa muda katika idara kwa sababu alitaka kutumia muda wote aliokuwa nao na mke wake na binti.
alex did not spend that much time in the department because he wanted to spend all the time available with his wife and daughter.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
basi mola wako mlezi alitaka wafikie utu uzima na wajitolee khazina yao wenyewe, kuwa ni rehema itokayo kwa mola wako mlezi.
so thy lord intended that the twain should attain their maturity and bring forth for themselves their treasure as a mercy from thy lord.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
alitaka kuona yesu alikuwa nani, lakini kwa sababu ya umati wa watu, na kwa vile alikuwa mfupi, hakufaulu.
and he sought to see jesus who he was; and could not for the press, because he was little of stature.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
kwa maneno mengine, ukurasa wa khabensky wa mtandao wa vkontakte haujathibitishwa, lakini mmiliki wa anuani hiyo alitaka wasomaji wadhanie hivyp.
in other words, khabensky’s vkontakte page is not verified, but the owner of the account wants readers to think it is.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
andreas harsono alitaka clinton aongelee masuala ya uhuru wa kidini, usawa katika sheria na mageuzi ya kijeshi wakati wa ziara yake:
andreas harsono wanted clinton to raise the issues of religious freedom, impunity, and military reform during her visit:
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
basi mola wako mlezi alitaka wafikie utu uzima na wajitolee khazina yao wenyewe, kuwa ni rehema itokayo kwa mola wako mlezi. wala mimi sikutenda hayo kwa amri yangu.
their father was a righteous man and your lord intended that they should come of age and then bring forth their treasure as a mercy from your lord; i did not do this of my own bidding.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
pilato alitaka kuuridhisha huo umati wa watu; basi, akamwachilia baraba kutoka gerezani. akaamuru yesu apigwe viboko, kisha akamtoa asulubiwe.
and so pilate, willing to content the people, released barabbas unto them, and delivered jesus, when he had scourged him, to be crucified.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
wakati pendekezo la kupigwa marufuku kwa vazi hilo lilipotolewa katikati ya mwaka 2009, mwanahabari wa canberra virginia haussegger alitaka vazi hilo lipigwe marufuku katika blugu yake katika musing ya usawa wa kijinsia:
when the french bans were proposed during the middle of 2009, canberra journalist virginia haussegger argued on her blog for its prohibition on the grounds of gender equality:
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
na chini yake ilikuwako khazina yao; na baba yao alikuwa ni mtu mwema. basi mola wako mlezi alitaka wafikie utu uzima na wajitolee khazina yao wenyewe, kuwa ni rehema itokayo kwa mola wako mlezi.
"and as for the wall, it belonged to two orphan boys in the town; and there was under it a treasure belonging to them; and their father was a righteous man, and your lord intended that they should attain their age of full strength and take out their treasure as a mercy from your lord.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
hivyo ndivyo ilivyo kwa mungu. alitaka kuonyesha ghadhabu yake na kujulisha uwezo wake, basi, alikuwa na saburi sana, akiwavumilia wale ambao walikuwa lengo la ghadhabu yake, ambao walistahili kuangamizwa.
what if god, willing to shew his wrath, and to make his power known, endured with much longsuffering the vessels of wrath fitted to destruction:
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
@mohammedy : #menejimenti ya islamonline huko qatar imekuwa ikikataa kupokea simu kutoka kwa al-qaradawi kwa sababu inamtuhumu kwamba alitaka kujiunga upande wa wafanyakazi (kupitia fathi katika iol)
@mohammedy : #islamonline management in qatar have been evading al-qaradawi's calls bec he wanted to take sides with employees (through fathi at iol)
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz: