Sie suchten nach: alitangaza (Swahili - Englisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

English

Info

Swahili

alitangaza

English

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

mwanablogu anayeandika sana wa kimisri, zeinobia alitangaza habari:

Englisch

egyptian prolific blogger zeinobia broke the news:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

na firauni alitangaza kwa watu wake, akisema: enyi watu wangu!

Englisch

and fir'aun (pharaoh) proclaimed among his people, saying: "o my people!

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

rais wa marekani, trump alitangaza covid-19 kuwa dharura la kitaifa.

Englisch

us president trump declares covid-19 national emergency

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

jumatano, msemaji wa cndp alitangaza kusitishwa kwa mapigano, japokuwa hali huko goma iliendelea kuwa kutoeleweka.

Englisch

on wednesday, a spokesperson of the cndp announced a unilateral ceasefire, although the situation on the ground in goma remains chaotic.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

gavana wa ohio, mike dewine alitangaza kuwa jimbo hilo liliongeza muda wa agizo la watu kukaa nyumbani hadi tarehe 1 mei.

Englisch

the governor of ohio, mike dewine, announced the state had extended its stay-at-home order until may 1.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

al sisi vile vile alitangaza kwamba katiba ya misri imesimamishwa na kwamba maandalizi yatafanywa kwa ajili ya uchaguzi wa rais na wabunge.

Englisch

al sisi also announced that the egyptian constitution has been suspended and that preparations will be made for both presidential and parliamentary elections.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

mnamo 13 machi, alitangaza hali ya dharura la taifa, ambayo ilifanya ufadhili wa jimbo kupatikana kushughulikia hali ya hatari.

Englisch

on 13 march, he declared a national emergency, which made federal funds available to respond to the crisis.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

siku ya ijumaa, raisi wa marekani, donald trump alitangaza dharura la kitaifa katika kukabiliana na mkurupuko unaoendelea kwa virusi vya korona.

Englisch

on friday, united states president donald trump declared a national emergency in response to the ongoing coronavirus outbreak.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

huku akimwulikwa na vyombo vya habari vya dunia wakati wa ziara yake nchini china, abbott kwa furaha kabisa alitangaza tarehe 12 aprili 2014 kwamba:

Englisch

with the world’s media watching during his visit to china, abbott gleefully announced on 12 april 2014 that:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

rajoelina alitangaza kuundwa kwa serikali ya mpito, na yeye mwenyewe akiwa kiongozi wa serikali, bila kujali ukweli kwamba serikali iliyopo sasa bado inashikilia nafasi hiyo.

Englisch

rajoelina announced the creation of a new transitional government, with himself as its leader, in spite of the fact that the current government is still in place.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kufuatia nia ya kugombea urais kwa kipindi cha tatu ya rais wa burundi aliye madarakani nkurunziza, jenerali godefroid niyombare alitangaza kwamba utawala uliopo umeangushwa rasmi na kwamba anatwaa madaraka mpaka itakapotangazwa vinginevyo.

Englisch

following incumbent burundi president nkurunziza's candidacy for a third term, general godefroid niyombare announced that he has dismissed the current administration and that he is taking over until further notice.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

alaa alichukuliwa na polisi licha ya kuwa alitangaza kwamba yeye ndiye angejisalimisha kwa polisi siku ya jumamosi, kulingana na taarifa aliyoitoa na ambayo shangazi yake, mwandishi mashuhuri wa misri ahdaf soueif, aliiweka kwenye mtandao wa facebook.

Englisch

alaa was taken by police despite having declared that he'd deliver himself to the police on saturday, according to a statement he made and that his aunt, renowned egyptian novelist ahdaf soueif, posted on facebook.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

pia alitangaza kwamba vituo vya dharura vya afya vitasaidia kazi za mfumo mzima wa afya kuanzia mwezi aprili, na kwamba feri na madaraja ya dharura kuvuka mto bio-bio utasaidia katika usafirishaji wa mizigo mizito na vifaa kwenda san pedro de la paz na talcahuano.

Englisch

he also announced that emergency health posts will correct the deficiencies of the health care system starting in april, and that emergency ferries and bridges in the bio-bio river will allow for the transport of heavy loads of materials and supplies to san pedro de la paz and talcahuano.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

tajiri mwingine mashuhuri sana, u zaw zaw, ambaye ni rais wa shirikisho la soka la myanmar alitangaza kuwa atachangia tiketi 1,000 za ndege kwa wote wanaohitaji kurudi nchini myanmar, pamoja na kuchangia dola za kimarekani 20,000 kampung ffss.

Englisch

another well-known wealthy personnel, u zaw zaw, who is president of myanmar football federation announced that he will donate 1,000 air tickets for those who want to go back to myanmar, plus additional $20,000 us dollars donation to kampung ffss.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

pamoja na mwito huo, waziri wa kilimo alitangaza kwamba mwaka huu, bei ya unga wa mahindi itakuwa k65,000 (sawa na takribani tsh. 20,000) kwa gunia la kilo 50.

Englisch

despite such calls, the ministry of agriculture announced this year’s floor price of maize at k65,000 (about $13 usd) per 50 kilo bag.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
7,781,062,337 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK