Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
nchi ya kambodia inaomboleza kifo cha baba mfalme norodom sihanouk aliyefariki tarehe15 ockoba, 2012.
cambodia is mourning the death of king father norodom sihanouk who died last october 15, 2012.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
msichana huyu jasiri na asiye na woga amechukua nafasi ya baba yake aliyefariki mapema mwaka huu.
the outspoken youngster replaces her father who died earlier this year.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
kutoka kwenye video iliyotayarishwa na mtandao maarufu wa kharabeesh kwa ajili ya kumbukumbu ya rubani aliyefariki, iliyowekwa katika ukurasa wa facebook.
from a video created by the popular site kharabeesh to pay tribute to the fallen pilot, on their facebook page.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
mwili wa mtu aliyefariki kwa ugonjwa wa ebola ukiwa umefunikwa kwa shuka ukiwa umepakizwa katika gari huko monrovia, liberia -public domain
the body of a victim of ebola virus is seen covered with a sheet at the back of a truck in monrovia, liberia -public domain
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
picha iliyokuwa imechapishwa kwenye ukurasa wa facebook wa ikulu ya rais, ikisemekana kuwa na lengo la kuonesha kwamba mwenye alikuwa ameapishwa kuwa mwanasheria mkuu wa serikali, ilikuwa na sura ya mtu aliyefariki na mwingine aliyekuwa ameteuliwa kuwa mwanadiplomasia miaka miwili iliyopita.
the picture which was published on the presidential palace facebook page, supposedly with the aim of showing that mwenye had been sworn in as attorney-general, had in it a deceased individual and another one who had been posted to the diplomatic service two years earlier.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: