Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
yesu ni mfalme
jesus is the king.
Letzte Aktualisierung: 2023-11-21
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
yesu ni bwana wangu
jesus died on the cross for you
Letzte Aktualisierung: 2023-04-29
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
ata milele yesu ni bwana
jésus est toujours un maître
Letzte Aktualisierung: 2019-01-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
yesu ni mokozi wangu mimi nitayimba
the lord is my savior;
Letzte Aktualisierung: 2020-10-17
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
kwa hiyo yesu ni mzungu kila anapotokea.
so jesus is white even in apparitions.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
yesu ni wangu wa uzima wa milele
jesus is my eternal life
Letzte Aktualisierung: 2020-10-27
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
mara alianza kuhubiri katika masunagogi kwamba yesu ni mwana wa mungu.
and straightway he preached christ in the synagogues, that he is the son of god.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
kwa maana aliendelea kwa uhodari kuwashinda wayahudi hadharani akithibitisha kwa maandiko matakatifu kuwa yesu ni kristo.
for he mightily convinced the jews, and that publickly, shewing by the scriptures that jesus was christ.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
nani, basi, awezaye kuushinda ulimwengu? ni yule anayeamini kwamba yesu ni mwana wa mungu.
who is he that overcometh the world, but he that believeth that jesus is the son of god?
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
kama ukikiri kwa kinywa chako kwamba yesu ni bwana na kuamini moyoni mwako kwamba mungu alimfufua kutoka wafu, utaokoka.
that if thou shalt confess with thy mouth the lord jesus, and shalt believe in thine heart that god hath raised him from the dead, thou shalt be saved.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
lakini wao wakazidi kupiga kelele kwa nguvu sana, kwamba yesu ni lazima asulubiwe. mwishowe, sauti zao zikashinda.
and they were instant with loud voices, requiring that he might be crucified. and the voices of them and of the chief priests prevailed.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
wazazi wake walisema hivyo kwa sababu waliwaogopa viongozi wa wayahudi kwani viongozi hao walikuwa wamepatana ya kwamba mtu yeyote atakayekiri kwamba yesu ni kristo atafukuzwa nje ya sunagogi.
these words spake his parents, because they feared the jews: for the jews had agreed already, that if any man did confess that he was christ, he should be put out of the synagogue.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
kila mtu anayeamini kwamba yesu ni kristo, huyo ni mtoto wa mungu; na, anayempenda mzazi humpenda pia mtoto wa huyo mzazi.
whosoever believeth that jesus is the christ is born of god: and every one that loveth him that begat loveth him also that is begotten of him.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
mwongo ni nani? ni yule anayekana kwamba yesu ni masiha. mtu wa namna hiyo ni adui wa kristo--anamkana baba na mwana.
who is a liar but he that denieth that jesus is the christ? he is antichrist, that denieth the father and the son.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz: