Sie suchten nach: ameketi (Swahili - Englisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

English

Info

Swahili

ameketi

English

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

callista alionekana katika dhifa nyingi za kitaifa akiwa ameketi pembeni ya rais.

Englisch

callista was spoted at several state functions sitting next to the president.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

wakati yesu alipokaribia yeriko, kulikuwa na mtu mmoja kipofu ameketi njiani akiomba.

Englisch

and it came to pass, that as he was come nigh unto jericho, a certain blind man sat by the way side begging:

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

mara nikachukuliwa na roho. kumbe, huko mbinguni kuna kiti cha enzi na juu yake ameketi mmoja.

Englisch

and immediately i was in the spirit: and, behold, a throne was set in heaven, and one sat on the throne.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

lakini tangu sasa, mwana wa mtu atakuwa ameketi upande wa kulia wa mungu mwenyezi."

Englisch

hereafter shall the son of man sit on the right hand of the power of god.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

yesu alipokuwa nyumbani ameketi kula chakula, watoza ushuru wengi na wahalifu walikuja wakaketi pamoja naye na wanafunzi wake.

Englisch

and it came to pass, as jesus sat at meat in the house, behold, many publicans and sinners came and sat down with him and his disciples.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

walipoingia kaburini, walimwona kijana mmoja aliyevaa vazi jeupe, ameketi upande wa kulia; wakashangaa sana.

Englisch

and entering into the sepulchre, they saw a young man sitting on the right side, clothed in a long white garment; and they were affrighted.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

yesu alipokuwa ameketi juu ya mlima wa mizeituni akielekea hekalu, petro, yakobo, yohane na andrea wakamwuliza kwa faragha,

Englisch

and as he sat upon the mount of olives over against the temple, peter and james and john and andrew asked him privately,

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

basi, ikiwa mmefufuka pamoja na kristo, panieni mambo ya juu, kule kristo aliko, ameketi upande wa kulia wa mungu.

Englisch

if ye then be risen with christ, seek those things which are above, where christ sitteth on the right hand of god.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

yesu alikuwa ameketi karibu na sanduku la hazina. akawa anatazama jinsi watu wengi walivyokuwa wakitoa fedha na kuzitia katika hazina ya hekalu. matajiri wengi walitoa fedha nyingi.

Englisch

and jesus sat over against the treasury, and beheld how the people cast money into the treasury: and many that were rich cast in much.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

baada ya hayo, yesu akatoka nje, akamwona mtoza ushuru mmoja aitwaye lawi, ameketi ofisini. yesu akamwambia, "nifuate!"

Englisch

and after these things he went forth, and saw a publican, named levi, sitting at the receipt of custom: and he said unto him, follow me.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

kijana mmoja aitwaye eutuko alikuwa ameketi dirishani wakati paulo alipokuwa anaendelea kuhutubu. eutuko alianza kusinzia kidogokidogo na hatimaye usingizi ukambana, akaanguka chini kutoka ghorofa ya tatu. wakamwokota amekwisha kufa.

Englisch

and there sat in a window a certain young man named eutychus, being fallen into a deep sleep: and as paul was long preaching, he sunk down with sleep, and fell down from the third loft, and was taken up dead.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

alipokuwa akipita, akamwona lawi mwana wa alfayo, ameketi katika ofisi ya ushuru. yesu akamwambia, "nifuate!" lawi akasimama, akamfuata.

Englisch

and as he passed by, he saw levi the son of alphaeus sitting at the receipt of custom, and said unto him, follow me. and he arose and followed him.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

kisha, roho akanikumba, akaniongoza mpaka jangwani. huko nikamwona mwanamke ameketi juu ya mnyama mwekundu. mnyama huyo alikuwa ameandikwa kila mahali majina ya makufuru; alikuwa na vichwa saba na pembe kumi.

Englisch

so he carried me away in the spirit into the wilderness: and i saw a woman sit upon a scarlet coloured beast, full of names of blasphemy, having seven heads and ten horns.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

yesu akamwambia, "wewe umesema! lakini nawaambieni, tangu sasa mtamwona mwana wa mtu ameketi upande wa kulia wa mwenyezi, akija juu ya mawingu ya mbinguni."

Englisch

jesus saith unto him, thou hast said: nevertheless i say unto you, hereafter shall ye see the son of man sitting on the right hand of power, and coming in the clouds of heaven.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Eine bessere Übersetzung mit
7,772,902,442 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK