Sie suchten nach: amerudi (Swahili - Englisch)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

amerudi

Englisch

amerudi

Letzte Aktualisierung: 2021-03-27
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

amina amerudi gerezani!

Englisch

amina is back in prison!

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

dada yangu amerudi shule leo

Englisch

you went to school today

Letzte Aktualisierung: 2022-08-23
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

alikuwa amerudi myanmar mara kadhaa na kushuhudia mabadiliko ambayo yametokea katika nchi hiyo katika miaka ya karibuni:

Englisch

he has since then returned to myanmar several times and he witnessed the changes that have taken place in the country in recent years:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

kwamba yesu amerudi? ha ha! hata kama yesu atarudi tena hawezi kuingilia kupitia cameroon...haiwezekani!!

Englisch

that jesus is back ?? lol even if jesus gonna come back it can't be in cameroon...nopeeee!**** — ig:adamiby (@adam_ib_rahim) april 17, 2014

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

mnamo 20 januari, kisa cha kwanza ya covid-19 ilithibitishwa katika jiji la pasifiki kaskazini magharibi ya washington katika mwanaume aliyekuwa amerudi kutoka wuhan mnamo 15 januari.

Englisch

on 20 january, the first known case of covid-19 was confirmed in the pacific northwest state of washington in a man who had returned from wuhan on 15 january.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

huko bahraini, silly bahraini girl (ambaye ni mimi) amerudi nyumbani na kushangazwa na kile alichokiona katika kiwanja cha ndege cha nchini mwake:

Englisch

in bahrain, silly bahraini girl (which is me) is back home and surprised at what she saw at her country's airport:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

takribani mwezi mmoja baadae, wa-zambia hawakuwa wanajua lolote kuhusu ikiwa rais wao, ambaye kwa miezi iliyopita alionekana kuwa mdhaifu, alikuwa amerudi ama la.

Englisch

nearly a month later, zambians were in the dark if their president, who had in previous months appeared unwell, was back in the country or not.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

rais nkurunziza haikuwa nchini wakati mapinduzi yakitangazwa (lakini hakuna anayejua ikiwa amerudi au bado) : rais alikuwa akihudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za afrika mashariki wakati mapinduzi hayo yakitangazwa.

Englisch

president nkurunziza was not in the country when the coup was announced (but no one knows whether he is back yet): the president was attending a summit of eastern african nations when the coup was announced.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Eine bessere Übersetzung mit
7,790,587,588 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK