Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
viwachie wafanyakazi wa huduma ya afya.
leave them for healthcare workers.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
uhuru wa upatikanaji wa huduma ya intaneti
free access to the internet
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
jaribio zaidi zisizokuwa na utaratibu maalum huko australia inatafuta kuajiri wafanyakazi 4,170 wa huduma ya afya.
a further randomized trial in australia is seeking to enrol 4,170 healthcare workers.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
mtumiaji wa huduma ya twita domoniccampbell, aliyeko mjini london, alitoa maoni makali kuhusiana na taarifa hiyo:
twitter user dominiccampbell, from london, reacted strongly to the news as well:
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
pamoja na juhudi zote hizi, madagaska inakabiliwa na mapungufu kadhaa yanayokwamisha uboreshaji wa mambo muhimu katika utoaji wa huduma ya afya.
despite these efforts, madagascar is faced with certain weaknesses that hinder improvement in health indicators.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
mtumiaji wa huduma ya twita wa kiafrika ya kusini @ woganmay alitengeneza kurasa maalum kwenye tovuti ya twittersa ili kukusanya maoni.
a south african twitter user @woganmay even created a special page on twittersa, to aggregate all the comments.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
kwa ushirkiano na kampuni ya mawasiliano ya rwandan telecentre network (rtn), serikali imetekeleza mpango wa maendeleo ya upatikanaji wa huduma ya intaneti katika maeneo ya vijijini.
in collaboration with the rwandan telecentre network (rtn), the government has implemented a plan for the development of internet access in rural zones.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
kikazi, wafanyakazi wa huduma ya afya wana hatari kubwa ikilinganishwa na wengine huku maambukizi mengi ya ugonjwa yakiwa katika mazingira ya wafanyakazi na katika huduma ya afya.
occupationally, health care workers have higher risk compared to others with clusters of disease among workers and in health care settings.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
sawa sawasawa sawalugata hakuna huduma ya pmtct hivyo watumiaji wa huduma hiyo hulazimika kwenda nyamiswi health center au hospital ya wilaya japokuwa huduma hutolewa bule gharama kama usafili na malazi huongezeka hivyo huathiri mfumo mzima wa utolewaji na utumiaji wa huduma husika
same
Letzte Aktualisierung: 2014-08-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
katika barua ya wazi aliyoandikiwa waziri mkuu, malgache kolo roger, asasi ya lcdmf ilisisitiza umuhimu wa kukabiliana na tatizo hili na hususani katika maeneo yaliyosahaulika na yasiyo na mifumo ya kisasa ya utoaji wa huduma ya afya:
in an open letter to prime minister malgache kolo roger, lcdmf stressed the importance of treating this problem, especially in isolated regions without modern health facilities:
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
kama hawa jamaa wanamaanisha kwa dhati kutatua tatizo la umeme barani afrika, ni lazima wapiganie suluhisho pekee linaloweza kuleta matokeo halisi: kuachana na ukiritimba wa huduma ya umeme.
if people are serious about solving africa’s electricity problem, they should be promoting the only solution capable of producing real results: abolish national monopolies on electric utilities.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
katika nchi nyingi, mfumo wa huduma ya afya umepanuliwa sana hadi hauwezi kushughulikia idadi kubwa ya wagonjwa, na kuna uwezekano unaweza kunyimwa matibabu kwa sababu ya ukosefu wa wahudumu wa matibabu, vifaa au bidhaa.
in many countries, the healthcare system has been stretched to the point of not being able to handle the sheer number of patients, and there is a chance you may be refused treatment due to the lack of available medical staff, supplies or equipment.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
idadi hizi hutofautiana kulingana na mkoa na muda na huathiriwa na idadi ya vipimo, ubora wa mfumo wa huduma ya afya, chaguo za matibabu, muda tangu mlipuko wa kwanza kutokea na sifa za idadi ya watu kama vile umri, jinsia, na afya kwa ujumla.
these numbers vary by region and over time and are influenced by the volume of testing, healthcare system quality, treatment options, time since initial outbreak and population characteristics such as age, sex and overall health.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
wakati ambapo maoni yanaanza kujitokeza katika mtandao wa wanablogu, ripoti kamili iko njiani.kwa sasa zifuatazo ni picha zinazoonyesha siku hiyo ya kihistoria, kama zinavyoorodheshwa na jose manuel lima da silva, mtumiaji wa huduma ya flickr kool2bbop, pamoja na nukuu zake:
as reactions start to appear on the blogosphere, a full report is on its way. for now here are some pictures showing the run up to the historic day, registered by josé manuel lima da silva, flickr user kool2bbop, along with his own remarks:
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
je, dawa hazo zinaweza kutumiwa kupunguza ugonjwa wa maambukizo ya covid-19 katika wafanyikazi wa huduma ya afya na watu walio katika hatari kubwa ya kupata ugonjwa mkali? kuandikisha watu wenye maambukizo ya covid-19 kunarahisishwa kwa kutumia uingizaji takwimu, ikiwemo idhini ya kuarifiwa, kwenye tovuti ya who.
could such drugs be used to minimize the illness of covid-19 infection in healthcare staff and people at high risk of developing severe illness?enrolling people with covid-19 infection is simplified by using data entries, including informed consent, on a who website.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
ecdc na ofisi ya eneo la ulaya ya who zimetoa miongozo ya hospitali na za huduma ya msingi ya afya ya kuelekeza rasilimali katika viwango kadhaa, pamoja na kuelekeza huduma za maabara kwa kupima covid-19, kufuta taratibu zilizopangwa iwezekanapo, kukaa mbali na kutenga wagonjwa walio na covid-19, na kuongeza uwezo wa huduma za utunzaji wa hali ya juu kwa kuwafunza wafanyakazi na kuongeza nambari ya vifaa vya kusaidia kupumua na vitanda.
the ecdc and the european regional office of the who have issued guidelines for hospitals and primary healthcare services for shifting of resources at multiple levels, including focusing laboratory services towards covid-19 testing, cancelling elective procedures whenever possible, separating and isolating covid-19 positive patients, and increasing intensive care capabilities by training personnel and increasing the number of available ventilators and beds.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz: