Sie suchten nach: arafat (Swahili - Englisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

English

Info

Swahili

arafat

English

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

kaburi kubwa la yasser arafat.

Englisch

yasser arafat's mausoleum.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

palestina: makala kuhusu kifo cha arafat yaibua maswali

Englisch

palestine: documentary about arafat's death prompts questions · global voices

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

yasser arafat katika mkutano wa jukwaa la uchumi wa dunia mjini davos, januari 2001.

Englisch

‏yasser arafat at the world economic forum in davos, january 2001.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

wengi wao hawakushangaa kuhusu madai ya kwamba arafat aliwekewa sumu, jambo ambalo kwa muda limedaiwa na watu wengi.

Englisch

the majority were not surprised by the allegations that arafat was poisoned, something that has long been claimed by many.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

makala hayo yalikamilika kwa mjane wa yasser arafat, suha arafat kuomba mamlaka ya palestinia ifukue mabaki ya marehemu ndio uchunguzi uendelelee.

Englisch

in a similar vein, rami khrais tweeted: the biggest blow to the palestinian authority - besides suha arafat's request for an examination for poison in her husband's remains - is the report pointing out that no investigation took place after his death. the documentary ended with yasser arafat's widow suha arafat requesting that the palestinian authority exhume her late husband’s body so the investigation could be continued.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

‏@manararam: swali lingine ambalo nataka nijibiwe ni "n'nani aliyemuua arafat?"

Englisch

‏@manararam: the next question i want an answer for is "who killed arafat?"

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

mnamo tarehe 3 julai, 2012 kituo cha televisheni cha al jazeera ilionesha makala ambayo yalihusu uchunguzi wa kifo cha kutatanisha cha rais wa palestina yasser arafat.

Englisch

on 3 july, 2012 the news channel al jazeera broadcast a documentary that investigated the mysterious death of palestinian president yasser arafat.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

wanaharakati kadhaa wa hifazat walimkimbiza na kumdhalilisha kimwili mwandishi wa taarifa za habari wa televisheni ya ekushey ajulikanaye kwa jina la nadia sharmin huko bijoynagar, katika eneo la mkutanao huo, walimvamia mwandishi arafat ara wa duru za kiuchumi huko paltan, akiwa karibu na eneo hilo akielekea ofisini kwake.

Englisch

numbers of hifazat activists chased and physically assaulted ekushey television reporter nadia sharmin at bijoynagar on the path of the rally, and interrupted financial express reporter arafat ara at paltan, close to the event venue, when she was going to her office.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

picha ya remy steinegger (cc by-sa 2.0) mtumiaji twita, 'maoni kutoka gaza' alitwiti: al jazeera imefunua ukweli mpya kuhusu kifo cha arafat baada ya uchunguzi wa miezi tisa, iligundua kiwango cha juu cha sumu ya poloni katika vifaa alivyokuwa akivitumia marehemu rais arafat

Englisch

image by remy steinegger (cc by-sa 2.0).twitter user this is gaza tweeted: al jazeera reveals new facts about arafat's death after a nine-month investigation found high levels of the poisonous element polonium in the belongings of president arafat.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
7,763,065,712 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK