Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
naye yesu alikuwa amealikwa arusini pamoja na wanafunzi wake.
and both jesus was called, and his disciples, to the marriage.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
basi, nendeni kwenye barabara na wowote wale mtakaowakuta waiteni waje arusini.
go ye therefore into the highways, and as many as ye shall find, bid to the marriage.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
muwe kama watumishi wanaomngojea bwana wao arudi kutoka arusini, ili wamfungulie mara atakapobisha hodi.
and ye yourselves like unto men that wait for their lord, when he will return from the wedding; that when he cometh and knocketh, they may open unto him immediately.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
yesu akawajibu, "je, mnaweza kuwataka wale walioalikwa arusini wafunge hali bwana arusi yuko pamoja nao?
and he said unto them, can ye make the children of the bridechamber fast, while the bridegroom is with them?
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
akawatuma tena watumishi wengine, akisema, waambieni wale walioalikwa: karamu yangu iko tayari sasa; fahali wangu na ng'ombe wanono wamekwisha chinjwa; kila kitu ni tayari, njoni arusini.
again, he sent forth other servants, saying, tell them which are bidden, behold, i have prepared my dinner: my oxen and my fatlings are killed, and all things are ready: come unto the marriage.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: