Google fragen

Sie suchten nach: dereva wa gari moshi huitwaje (Swahili - Englisch)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

dereva-wa-gari-moshi huitwaje

Englisch

driver-to-car-smoke What's your name

Letzte Aktualisierung: 2017-01-02
Nutzungshäufigkeit: 3
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

dereva wa meli huitwaje

Englisch

How a shipwreck does

Letzte Aktualisierung: 2018-10-16
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Zaidi ya wanablogu 20 wa Misri wametiwa mbaroni mara baada ya gari moshi walilokuwa wakisafiria kuwasili katika kijiji cha Naga Hammady huko Misri ya Juu.

Englisch

More than 20 Egyptian bloggers were arrested when their train arrived in the village of Naga Hammady in Upper Egypt.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Gari moshi lifanyalo safari za ndani liliondoka kituoni bila ya kutoa taarifa wakati abiria walipokuwa wakiharakisha kuingia.

Englisch

A local train started from the platform without notice and the crowd hurried to get on board.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Lakini zaidi ya hayo, Puerto Deseado ni historia ya jiji tajiri shauri ya miundo mbinu ya gari moshi.

Englisch

But beyond the fauna, Puerto Deseado is a city rich in history due to its train.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Hapo hapo ndipo nilipomwona jamaa huyu akishangaa shangaa kwenye upande mwingine wa gari.

Englisch

Just then I saw this guy loitering on the other side of the car.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Maembe yaliponunuliwa,, nikafungua mlango wa gari ili kuweka maembe kwenye kiti cha nyuma.

Englisch

Mangoes bought, I open the door of the vehicle to put the mangoes on the back seat.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Ndege za F-16 zinapiga hivi sasa. Na mlio wa gari ya wagonjwa ni mkubwa.

Englisch

F16 is shelling right now. and the sound of the ambulance is loud.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Mshindani mwingine katika kigezo hiki ni Han Han, mwandishi wa riwaya mwenye ufanisi mkubwa ambaye pia ni dereva wa magari ya mashindano wa huko China ambaye ametokea kuwa mwanablogu aliyesomwa sana nchini China na mshiriki katika shindano la 100 bora wa gazeti la Time.

Englisch

Another contender of this category is Han Han, a prolific novelist and race car driver from China who happens to be China's most read blogger and a contender for Time Magazine's Top 100 list.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa Jumatatu , kupitia runinga ya taifa, Kim alifariki kwa sababu ya “uchovu wa kiakili na kimwili” wakati akisafiri kwa gari moshi mnamo tarehe 17 Desemba, 2011.

Englisch

According to North Korean state television's official report on Monday, Kim passed away from "mental and physical strain" during a train ride on December 17, 2011.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

Siku hiyo ya ziara ya waziri mkuu, Muhammad Siddique, mmliki wa gari lililokuwa kwenye foleni alisema mikutano muhimu na safari za watu maarufu zibaki kuwa kwenye maeneo ya kijeshi la jiji hilo.

Englisch

On the day of the prime minister's visit, Muhammad Siddique, a car owner stuck in a traffic jam said important meetings and VIP movements should be restricted to the high security military cantonment of the city.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

@hussain_info: Watu wana haki ya kujua kilichotokea kwenye uchunguzi wa gari ya Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo iliwafuatilia Wa-Asia kati ya Ekeri na Maameer kwani muuaji anafahamika wazi

Englisch

@hussain_info: People have the right to know what happened to the investigation of the Interior Ministry vehicle which ran over Asians between Eker and Maameer as the murderer in known

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Eine bessere Übersetzung mit
4,401,923,520 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK