Sie suchten nach: duka la simu (Swahili - Englisch)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

duka la simu

Englisch

vifaa vya simu

Letzte Aktualisierung: 2023-05-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

duka la vitu vya nyumbani

Englisch

home items store

Letzte Aktualisierung: 2023-10-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

duka la vifaa vya pikipiki

Englisch

motorcycle hardware store

Letzte Aktualisierung: 2020-11-12
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

nimewahi kumiliki duka la vinywaji

Englisch

not too far from europe

Letzte Aktualisierung: 2021-01-12
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

barua ya kuomba kazi duka la vipodozi

Englisch

letter of application for a job in a cosmetics store

Letzte Aktualisierung: 2023-12-27
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

waishie kwenye duka la dawa, watibu majeraha yao na warudi nyumbani.

Englisch

just stop by a pharmacy, treat their wounds and get them home.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

cameroon: wezi “wakarimu” na malipo kwa kutumia salio la simu

Englisch

cameroon: from "kind" thieves to mobile credit as legal tender · global voices

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

duka la costco kule canberra pia liliweka vikomo kiwango kinachoruhusiwa kuwa vifurushi viwili wiki jana.

Englisch

costco's store in canberra also limited the allowed amount to two packs last week.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

wanakuwa kama wafanyakazi wanaofanya kazi kwenye duka la jasho, wanaowajibika katika shughuli ya kuandika habari.

Englisch

they are like the workers in the sweatshop, responsible for a part of the news making.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

kadhalika arrow alijiimarisha kama mfanyabiashara huko montserrat, alimiliki duka la arrow’s manshop pale plymouth.

Englisch

arrow also established himself as a businessman in montserrat, owning the arrow`s manshop store in plymouth.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

@pkahill: hakuwa na betri na alikuwa akiwasubiri marafiki zake katika duka la shoprite na akamwacha rafiki mmoja ndani na bomu ikalipuka

Englisch

@pkahill: #werememberjuly11‬ he had no battery so waiting for his friends at shop rite he left one friend in and the bomb went off 1/2

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

mwnaablogu huyu anasema lengo kuu la simu hiyo lilikuwa kuwaonyesha mamilioni ya waislamu wanaofuata mafundisho ya imam huyo kwamba iran iko tayari kuzungumza na "shetani mkuu."

Englisch

this blogger says the main goal of the phone call was to show the millions of muslims who follow the imam teachings that iran is willing to negotiate with "the great satan."

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

nilikuwa karibu ya kumaliza kununua bidhaa kwenye orodha yangu nilipoamua kwenda kwenye duka la nguo za ndani kutafuta bidhaa iliyokuwa kwenye orodha yangu ya manunuzi kwa muda mrefu: sidiria isiyokiwa na pindo wala waya.

Englisch

i almost finished buying the items on my list when i decided to go into a lingerie shop to look for an item that has been on my shopping list forever: a seamless wireless bra.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

pia mwezi wa machi 2020, deutsche telekom ilishiriki data ya jumla ya eneo la simu na shirika la serikali ya shirikisho la ujerumani, taasisi ya robert koch, ili kufanya utafiti na kuzuia virusi hivyo kuenea.

Englisch

also in march 2020, deutsche telekom shared aggregated phone location data with the german federal government agency, robert koch institute, in order to research and prevent the spread of the virus.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

kama wakienda kwenye duka la macdonald kununua chakula cha big mac chenye mbogamboga zaidi ila bila rojo ya pilipili bila shaka wangenunua mnofu wa samaki (fillet o’fish).

Englisch

if they went to a macdonald’s to buy a big mac with extra lettuce and no pickles they’d probably get fillet o’ fish.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

…nilimuona mtu mwingine akiwa na mkokoteni wa matofaa nje ya duka la mzungu kwenye mtaa mwingine mjini yaounde (hilo lilikuwa kosa la kwanza, kujaribu nje ya duka la mzungu).

Englisch

...i saw another man with an apple cart outside of a white person store in downtown yaounde (that was mistake one, trying outside a white person store).

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

@melosodrop_line: @bbcandrewh #obama hajawahi kuonyesha kwamba afrika ni duka la bidhaa ghafi...ameonyesha mabadiliko ya mtazamo wa jinsi hii

Englisch

@melosodrop_line: @bbcandrewh #obama never indicated that africa is a raw materials shop... his indicating the shift away from that mentality

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Eine bessere Übersetzung mit
7,776,946,122 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK