Sie suchten nach: inatangaza (Swahili - Englisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

English

Info

Swahili

inatangaza

English

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

côte d'ivoire: televisheni ya taifa rti inawezekana kuwa inatangaza kutokea kwenye gari la matangazo

Englisch

côte d'ivoire: state television rti possibly broadcasting from a mobile truck · global voices

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

taarifa kutoka waandishi wasio na mipaka inaashiria kuwa rti inaweza ikawa inatangaza kutokea kwenye gari lililoegeshwa kwenye nyumba ya mtu binafsi (fr).

Englisch

a report from reporters sans frontières suggests that rti might be broadcasting from a mobile truck stationed in a private home (fr).

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

katika mtandao wa malawian internet listserv, inashukuriwa kazi ambayo redio ilifanya hasa stesheni ya zodiak broadcasting, ambayo inatangaza katika malawi yote, na hivi karibuni ilianza kutangaza moja moja kwenye mtandao wa intaneti.

Englisch

on malawian internet listserv forums, appreciation for the role of radio stations has especially focused on zodiak broadcasting station, which broadcasts across malawi, and recently started streaming live on the internet.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

siku ya januari 18 global voices itazindua mtandao wa teknolojia na uwazi, ambao ni utafiti wa pamoja wa kuorodhesha na kuiweka kwenye ramani miradi ya kwenye mtandao wa intaneti ambayo inatangaza na kutetea uwazi, uwajibikaji wa serikali, na makutano ya kijamii.

Englisch

on january 18 global voices will launch the technology for transparency network, a collaborative research mapping of internet projects that promote greater transparency, government accountability, and civic engagement.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kufuatia tamko hilo, cnn, ambayo kwa sasa inatangaza moja kwa moja yanayoendelea misri, ilianza kile kinachoitwa na raia wa mtandaoni kuwa "kampeni ya ghafla ya kumwuunga mkono rais wa muslim brotherhood aliyeng'olewa na uhalali wake kwa kuielezea mikutano ya wafuasi wa morsi kuwa "yenye amani", wakiyaita madai ya wengi "mapinduzi ya kijeshi" na wakipinga hatua za kijeshi dhidi ya waandamanaji "wasio-na-vurugu" wa muslim brotherhood :

Englisch

following this reaction, cnn, which was covering the developments live, started what many netizens call "a vapid campaign to support the ousted muslim brotherhood president and his legitimacy by describing the pro-morsi rallies as "peaceful", calling the popular demand a "coup" and denouncing the military action against the "peaceful" mb protestors:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Eine bessere Übersetzung mit
7,781,599,763 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK