Sie suchten nach: kalamu (Swahili - Englisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

English

Info

Swahili

kalamu

English

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

ambaye amefundisha kwa kalamu.

Englisch

who taught by the pen -

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 4
Qualität:

Swahili

naapa kwa kalamu na yale wayaandikayo,

Englisch

(alphabet of the arabic language; allah and to whomever he reveals, know their precise meanings.)

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

nuun. naapa kwa kalamu na yale wayaandikayo,

Englisch

nun by the pen and by that which they inscribe.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

ninayo bado mengi ya kukwambia, lakini sipendi kuyaandika kwa kalamu na wino.

Englisch

i had many things to write, but i will not with ink and pen write unto thee:

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

huenda hatua hii itawahamasisha watu zaidi kuchukua kalamu au penseli na kuanza kuchora.

Englisch

maybe that will inspire more people to pick up a pen or pencil and start sketching.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

watoto wa ki-afghanistan wakionyesha vitabu na kalamu walizopewa na unicef darasani kwake.

Englisch

afghan kids with unicef-donated books and pens in a classroom.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

mfano wa ukiukwaji wa kanuni za uchaguzi ni matumizi ya kalamu zenye wino unofutika ambazo zilikutwa katika vituo vya kupigia kura:

Englisch

an example of the electoral violations is the use of erasable pens left in voting booths:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

hizi ni khabari za ghaibu tunazo kufunulia; nawe hukuwa nao walipo kuwa wakitupa kalamu zao nani wao atamlea maryamu, na hukuwa nao walipo kuwa wakishindana.

Englisch

(muhammad), that was some of the news about the unseen, that we have revealed to you. you were not among those who cast lots by throwing their arrows to find out who would take custody of mary, nor were you among those who disputed the matter.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

mohammad reza pourshajari, mwanablogu aliyefungwa hela anayefahamika kwa jina lake la kalamu siamak mehr, aliandika barua ya wazi kutoka jela ambapo alizungumzia vitendo vya utesaji na hali ngumu anayokabiliana nayo gerezani.

Englisch

mohammad reza pourshajari, a jailed blogger known by his pen name siamak mehr, wrote an open letter from prison where he spoke of torture and extremely difficult conditions in prison.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

na lau kuwa miti yote iliyomo duniani ikawa ni kalamu, na bahari (ikawa wino), na ikaongezewa juu yake bahari nyengine saba, maneno ya mwenyezi mungu yasingeli kwisha.

Englisch

and if all the trees in the earth were pens, and the sea, with seven more seas to help it, (were ink), the words of allah could not be exhausted.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

hii inamaanisha kwamba fedha hizo zitatumika kwa ajili ya kununulia vifaa (mitaala, madawati, kalamu) pamoja na shughuli nyingine za mradi kama vile ujenzi wa shule; ukarabati wa madarasa; mafunzo ya utawala/waalimu; vikundi vya wazazi na waalimu; vilabu vya vvu/ukimwi; maji na usafi wa majitaka mashuleni; mafunzo ya afya shuleni; utetezi wa elimu; elimu ya ufundi/ na maisha kwa vijana, wakulima na wanawake; na maendeleo ya mitaala kwa vyuo vikuu na shule za sekondari.

Englisch

this means that the money would be used for material purchases (curriculum, desks, pencils) as well as project activities such as construction of schools; rehabilitation of classrooms; teacher/management training; ptas; hiv/aids school clubs; water and sanitation in schools; health education in schools; education advocacy; vocational/life-skills training for youth, farmers and women; and curriculum development for secondary school/university.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
7,770,598,495 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK