Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
nimo njiani kuhamia nchi nyingine ikiwa atakuwa amiri jeshi.
i am so immigrating to another country if he becomes our commander in chief.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
ni dhahiri, yesu na mama yake wameamua kuhamia kwenye mitaa inayofuatana.
apparently, jesus and his mother have moved into two neighborhoods that are next to each other.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
siyo kama ni jambo lisilowezekana kwa rawlings kuhamia katika nyumba yake mwenyewe.
it’s not beyond rawlings to move into his own place.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
kukimbilia kwa wachimbaji wa ardhi kulipelekea wanakijiji kuhamia mbali katika kijiji kingine cha ambatotsivala.
the rush of land miners pushed local villagers away to another village ambatotsivala.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
kazi yake iliyopata sifa zaidi ni ile ya riwaya ya mwaka 1966 “msimu wa kuhamia kaskazini.”
his most acclaimed work is the 1966 novel “season of migration to the north.”
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
bandiko lake kwenye mtandao wa facebook lilisambaa kwenye mitandao ya kijamii na baadae kuhamia kwenye vyombo vikuu vya habari.
her facebook status was widely circulated on social networks and later spread to mainstream media sites.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
hata hivyo, mbebaji wa kati aliyesaidia virusi hivi kuhamia kwa binadamu kutoka kwa kizuizi cha aina hiyo ya mnyama bado hajulikani na njia ya usambazaji wake bado haijapambanuliwa.
however, what intermediate host helped the virus cross the species barrier to infect humans remains unknown, and the transmission route is yet to be elucidated.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
watasema: tulikuwa tunaonewa. watawaambia: kwani ardhi ya mwenyezi mungu haikuwa na wasaa wa kuhamia humo?
they reply, “we were powerless in the land”; the angels say, “was allah’s earth not spacious enough for you to have migrated in it?”
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
wanahabari mahiri wanazidi kuhamia katika matumizi ya vyombo vya habari vya mtandaoni na blogu ili kutafuta uhuru zaidi, hivyo kufanya ufafanuzi uliokuwepo hapo kabla kuingia ukungu.
professional journalists are increasingly migrating to online media and blogs in pursuit of more freedom, blurring the old lines of definition.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
kwa wataalamu wengi wa kiuchumi, suluhisho la kiradikali zaidi la kupunguza umaskini kwa haraka duniani ni, kufungua mipaka kati ya nchi na kuruhusu wafanyakazi kuhamia sehemu ambazo nguvukazi inahitajika zaidi.
the most radical solution to drastically reducing global poverty would be, for many economic experts, opening the borders between countries and allowing workers to migrate where labor is most needed.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
mojawapo ya nchi zilizoandikwa katika taarifa hiyo ni ethiopia ambapo wanavijiji katika jimbo la gambella wanalazimishwa kuhamia kwenye vijiji vilivyoandaliwa na serikali ili kuwapisha "wawekezaji” kutwaa ardhi yao.
one of the countries covered in the report is ethiopia where villagers in gambella province are forced to settle in state-designated villages to pave the way for land grabbers.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
katika mahojiano na gazeti la “inrockuptibles” kiangazi kilichopita, n’diaye alisema kuwa aliamua kuondoka ufaransa na kuhamia berlin mwaka 2007 ‘kwa kiwango kikubwa kutokana na sarkozy”
in an interview with "inrockuptibles" magazine last summer, n'diaye said she had decided to leave france and move to berlin in 2007 "in great part because of sarkozy."
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung