Sie suchten nach: kuhitaji (Swahili - Englisch)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

kuhitaji

Englisch

to need

Letzte Aktualisierung: 2017-04-14
Nutzungshäufigkeit: 2
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

miradi mingine inalenga kushughulika na changamoto zenye kuhitaji ufuatiliaji wa karibu zaidi kama vile ugonjwa wa upungufu wa damu au malaria.

Englisch

other programs target specific problems such as sickle-cell anemia or malaria.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

hata hivyo, mabadiliko haya yamesababisha dawa zisizo za dharura za kupanga uzazi kuhitaji kwanza ushauri wa daktari kabla ya kutumiwa.

Englisch

however, it has made non-emergency oral contraceptives, which were over the counter in the past, prescription-only drugs.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

sehemu nyingine yenye kuhitaji msisitizo wa haraka na kufanyiwa kazi ni afya ya uzazi, hii inatokana na ongezeko la haraka la idadi ya watu nchini madagaska.

Englisch

another area with a pressing need for action is maternal health, due to rapid population growth in madagascar.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

matukio mengi ya covid-19 sio kali sana kuhitaji mitambo ya kuingiza hewa au mibadala, lakini inahitajika kwa asilimia kubwa ya matukio.

Englisch

most cases of covid-19 are not severe enough to require mechanical ventilation or alternatives, but a percentage of cases are.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

tamko liliitaka kufahamu mamlaka halali ya tume hiyo ya kuhitaji taarifa za wanablogu na pia kutaka kufahamu kama ina mamlaka ya juu ya jukwaa la amarblog ambalo limesajiliwa nchini uingereza na pia kumilikiwa na mfumo wa komputa wa nchi mbalimbali.

Englisch

it questioned the commission's legal authority to ask for blogger information as well as questioned if it has jurisdiction over amarblog which is registered in united kingdom and hosted on an overseas server.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

nchi nyingi zilizoendelea hazina vitanda vya kutosha vya kila mtu, ambayo inapunguza uwezo wa mfumo wa afya kushughulikia matukio ya ghafla ya covid-19 ambayo ni kali sana kuhitaji kulazwa hospitalini.

Englisch

many developed countries do not have enough hospital beds per capita, which limits a health system's capacity to handle a sudden spike in the number of covid-19 cases severe enough to require hospitalisation.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

alisema ajira za moja kwa moja kutoka kwenye visima vya kuchimba mafuta zinahitaji kiwango cha juu cha ujuzi, uwezo na sifa za kitaaluma, hivyo kuhitaji vijana kujiendeleza zaidi ili kuweza kufaidika kikamilifu na nafasi nyingi za kazi, ambazo zitatokana na machimbo hayo.

Englisch

he said direct employment into the upstream oil industry required high level of professional competence and qualification, hence the need for the youth to improve themselves to be able to take full advantage of the numerous ancillary job opportunities, which would be generated by the emerging industry.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

kufikia 4 machi 2020 jumla ya uwezekano wa kila siku zilikuwa vipimo 50,000 kila siku.miundo tofauti yanayopatikana bila malipo yaliyotolewa na origami assays zimetolewa na zina uwezo wa kupima kiasi cha sampuli ya wagonjwa 1122 ya covid19 kwa kutumia vigezo vya vipimo 93 pekee . miundo hii yaliyosawazishwa huweza kutumiwa katika maabara ndogo bila kuhitaji matumizi ya roboti kushughulikia maji.

Englisch

by 4 march 2020 the daily throughput totals were 50,000 tests per day.open source, multiplexed designs released by origami assays have been released that can test as many as 1122 patient samples for covid19 using only 93 assays . these balanced designs can be run in small laboratories without the need for robotic liquid handlers.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Eine bessere Übersetzung mit
7,792,342,476 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK