Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
kinyume cha neno kukwama
the opposite of the word stuck
Letzte Aktualisierung: 2021-08-19
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
kimbunga haiyan kilichosababisha meli kukwama katika eneo la leyte na kuharibu nyumba katika kijiji cha pwani.
typhoon haiyan caused a ship to ran aground in leyte, destroying houses in a crowded coastal village.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
kwa sababu ya kuogopa kukwama kwenye miamba, waliteremsha nanga nne nyuma ya meli; wakaomba kuche upesi.
then fearing lest we should have fallen upon rocks, they cast four anchors out of the stern, and wished for the day.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
kama mkazi wa jakarta niliyozoea kukwama kwenye foleni za magari, huwa nafadhaika kama barabara zikiwa tulivu na zenye watu pungufu.
as a jakartan who used to stuck in traffic, i tend to be panicky if the streets are quiet and deserted look-alike.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
hatari ya kukwama katika mji wa kuunganisha safari iko juu kuliko kawaida wakati huu, kwa sababu ya kucheleweshwa na kupimwa na hata pia kughairishwa kwingi.
the risk of getting stuck in the connection city is higher than usual right now, due to delays for screening and testing as well as extensive cancellations.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
barakoa za uso za kimatibabu zinazuia matone ya majimaji kutoka wa mtu anayeweza kuwa ameambukizwa dhidi ya kusafirishwa hewani au kukwama kwenye sehemu za bidhaa, ambapo yanaweza kupitisha kwa watu wengine.
surgical face masks prevent liquid droplets from a potentially infected individual from traveling through the air or sticking onto surfaces of materials, where they could be passed on to others.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
kwa sababu ya kuenea kwa ugonjwa huu, unashauriwa usisafiri isipokuwa iwe muhimu, ili kuepuka kuambukizwa, karantini, au kukwama katika vikwazo vinavyobadilika na ndege zilizokomeshwa.
due to the spread of the disease, you are advised not to travel unless necessary, to avoid being infected, quarantined, or stranded by changing restrictions and cancelled flights.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
wale wanamaji waliuvuta mtumbwi ndani, kisha wakaizungushia meli kamba na kuifunga kwa nguvu. waliogopa kwamba wangeweza kukwama kwenye ufuko wa bahari, pwani ya libya. kwa hiyo walishusha matanga na kuiacha meli ikokotwe na upepo.
which when they had taken up, they used helps, undergirding the ship; and, fearing lest they should fall into the quicksands, strake sail, and so were driven.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz: