Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
baadhi ya shughuli zinazoandaliwa na bake ni pamoja na:
some of the activities that bake is organizing are:-
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
jamhuri ya dominika: upinzani dhidi ya shughuli za kampuni ya uchimbaji dhahabu ya barrick
dominican republic: opposition to barrick gold mining operations · global voices
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
hata hivyo, kuna hofu kuwa ziwa hilo linakufa na litageuka kuwa ziwa la tope kwa sababu ya shughuli za kibinadamu.
however, there is a fear that the lake is dying and will become marshland through man-made interventions.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
timu ya shughuli za hr inazingatia mwongozo wa mazingira ya mtandao ili kusaidia katika ongezeko la kazi zilizosambazwa katika wakfu.
the hr operations team is looking into webinar-based ergonomics guidance to support the increase in distributed work across the foundation.
Letzte Aktualisierung: 2023-07-07
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
kuanzia 15 machi, biashara kadhaa zilifungwa au kupunguza masaa ya shughuli kote marekani kujaribu kupunguza kuenea kwa virusi.
beginning on 15 march, many businesses closed or reduced hours throughout the u.s. to try to reduce the spread of the virus.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
kwa yongeza, ilionekana kwamba hospitali ya hjra ilikuwa na upungufu mkubwa wa vifaa vya msingi kwa ajili ya shughuli za upasuaji.
in addition, it was noted that the hjra had an acute shortage of basic materials for surgical procedures.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
katika nyakati nyingine, wanablogu hukamatwa kwa sababu ya shughuli zao zilizo nje ya mtandao, kuliko yale waliyoyachapishwa kwenye mtandao.
other times, bloggers are arrested for their offline activity, rather than for what they have published online.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
kwa mara ya kwanza tulikutana mwaka 2012, mara tu baada ya yeye kurejea baada ya shughuli yake ya mwaka mmoja ya kuripoti akiwa nchini kenya.
we met in 2012, when she had just returned from a year-long reporting trip in kenya. she furnished me with many wonderful stories that she covered during her trip.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
wakati wa kusanyiko hilo vuguvugu la "kuzuia ukatili wa polisi" litafanya mkutano na waandishi kuwasilisha ratiba ya shughuli za maadhimisho yake ya pili.
during the gathering the “stop police brutality” movement will hold a press conference to present activities marking its second anniversary.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
hata hivyo, siyo tu kwamba tuni condoriri hutoa maji ya kunywa kwa ajili ya jiji hilo tu, lakini pia hutoa maji kwa ajili ya shughuli za kilimo kwenye safu za altiplano.
however, the tuni condoriri, not only provides drinking water to the city, but it also provides valuable water for agricultural activities on the altiplano.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
itakuwa ndiyo siku kimataifa ya nelson mandela ya kwanza tangu umoja wa mataifa ulipopitisha azimio mwezi novemba mwaka 2009, likiitangaza tarehe 18 julai kwamba ni siku inayotengwa kwa ajili ya shughuli za kuimarisha utu.
it will be the first nelson mandela international day, as the united nations passed a resolution on the day in november 2009, declaring 18 july an international day set aside for humanitarian activities.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
hata hivyo, likizo yake hiyo, iliyoanza baada ya shughuli yake ya kwanza kimataifa ya kuhudhuria mkutano wa umoja wa afrika (au) addis ababa, ethiopia, iliwastua watu.
nevertheless, his holiday, which began after his first international assignment on a trip to the african union (au) summit in the ethiopian capital, addis ababa, raised eyebrows.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
faida hizi, hata hivyo, hutumika tu kwa bidhaa na huduma zinazotumika kwa ajili ya shughuli za kidini, wakati kanisa la serbia la orthodox inajulikana kuwa na aina mbalimbali za magari ya gharama kubwa katika umiliki wa kanisa, zinazotumiwa na viongozi wake na wafanyakazi.
these benefits, however, only apply to products and services that serve for religious activities, while the serbian orthodox church is known to have a variety of the most expensive vehicles in the ownership of the church, used by its officials and employees.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
ramírez na timu yake wamekuwa pia wakitafiti barafu iliyoko kwenye mlima mwingine ambao nao umekuwa ukipatwa na athari zinazofanana na huo mwingine na madhara ya mwenendo huo kwa jamii inayoishi maeneo ya jirani. barafu iliyoko kwenye mlima unaoitwa tuni condoriri glacier unayeyuka katika kasi kubwa, hivyo kuwaathiri wapenzi wa alpine, lakini pia hali hiyo inaathiri jamii za wahamiaji walio katika hatari ambao huitegemea ili kujipatia maji ya kunywa na kwa ajili ya shughuli za kilimo.
ramírez and his team have also been studying another nearby glacier that is undergoing similar changes and about the effect on the local population. the tuni condoriri glacier is melting at a rapid pace, affecting alpine enthusiasts, but also affecting a vulnerable migrant population that depends on it for drinking water and agricultural activities.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: