Sie suchten nach: kunyesha kwa mvua ya mawe nyepesi (Swahili - Englisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

English

Info

Swahili

kunyesha kwa mvua ya mawe nyepesi

English

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

mvua ya mawe

Englisch

hail stones

Letzte Aktualisierung: 2019-05-17
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

kunyeshewa na mvua ya mawe

Englisch

rain

Letzte Aktualisierung: 2022-04-12
Nutzungshäufigkeit: 2
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

giza na mvua ya moto inanyesha.

Englisch

darkness and it's raining fire.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

atakuleteeni mbingu zenye kunyesha mvua ya kumiminika, na atakuzidishieni nguvu juu ya nguvu zenu.

Englisch

from the sky he will loose an abundance (of rain) upon you; he will add strength to your strength.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

na tukaigeuza nchi juu chini, na tukawanyeshea mvua ya mawe ya udongo wa motoni.

Englisch

and turned the land upside down, and rained down stones of baked clay.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

atakuleteeni mbingu zenye kunyesha mvua ya kumiminika, na atakuzidishieni nguvu juu ya nguvu zenu. wala msigeuke mkawa wakosefu.

Englisch

ask forgiveness of your lord, and turn to him (in repentance): he will send you the skies pouring abundant rain, and add strength to your strength: so turn ye not back in sin!"

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

na tukawanyeshea mvua, basi ni ovu mno mvua ya waliyo onywa.

Englisch

and rained down upon them a rain [of stones]. evil was the rain of those who were warned!

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

na huteremsha kutoka juu kwenye milima ya mawingu mvua ya mawe, akamsibu nayo amtakaye na akamuepusha nayo amtakaye.

Englisch

with them he strikes or protects from them whomever he wants.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

muombeni msamaha mola wenu mlezi, kisha mtubie kwake. atakuleteeni mbingu zenye kunyesha mvua ya kumiminika, na atakuzidishieni nguvu juu ya nguvu zenu.

Englisch

and, o my people! ask forgiveness of your lord, then turn to him; he will send on you clouds pouring down abundance of rain and add strength to your strength, and do not turn back guilty.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

mwanamgambo aliyevalia kofia ya chuma aliyekuwa kwenye paa ya nyumba alipiga risasi hewani kabla ya kujificha ili kuepuka mvua ya mawe.

Englisch

a helmeted militiaman on the roof fired his ak-47 rifle into the air before retreating from a shower of stones.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

binadamu wanaweza kushiriki mazingira ya kiekolojia na popo kupitia uchinjaji au uchimbaji makaa ya mawe.

Englisch

humans might share the ecological niche with bats through butchering or coal mining.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

basi utaona mvua ikitoka kati yake. na huteremsha kutoka juu kwenye milima ya mawingu mvua ya mawe, akamsibu nayo amtakaye na akamuepusha nayo amtakaye.

Englisch

and he sends down from the sky hail (like) mountains, (or there are in the heaven mountains of hail from where he sends down hail), and strike therewith whom he will, and averts it from whom he wills.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

na huteremsha kutoka juu kwenye milima ya mawingu mvua ya mawe, akamsibu nayo amtakaye na akamuepusha nayo amtakaye. hukurubia mmetuko wa umeme wake kupofua macho.

Englisch

and from the sky he sends down hail from the mountains of ice, then sends them upon whomever he wills, and averts them from whomever he wills; it is close that the flash of its lightning take away the eyesight.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

basi ilipo fika amri yetu tuliigeuza nchi juu chini, na tukawateremshia mvua ya changarawe za udongo mgumu ulio kamatana wa motoni,

Englisch

and when our command came about, we turned it upside down, and we rained down on it stones of baked clay.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

mvua ya mabomu inanyesha kwenye ukanda wa gaza sasa hivi kutoka baharini, ardhini na hewani...israeli inapiga mabomu pande zote

Englisch

it's raining bombs across gaza strip now from sea, land and air...

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

wa-palestina wanasema mvua ya moto inanyesha gaza, baada ya israeli kuanza operesheni ya ardhini ndani ya eneo inalolizunguka, gaza.

Englisch

palestinians say it is raining fire in gaza, after israel started ground operations into the besieged enclave tonight.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

hekalu la mungu mbinguni likafunguliwa, na sanduku la agano lake likaonekana hekaluni mwake. kisha kukatokea umeme, sauti, ngurumo, tetemeko la ardhi, na mvua kubwa ya mawe.

Englisch

and the temple of god was opened in heaven, and there was seen in his temple the ark of his testament: and there were lightnings, and voices, and thunderings, and an earthquake, and great hail.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

malaika wa kwanza akapiga tarumbeta yake. mchanganyiko wa mvua ya mawe na moto, pamoja na damu, ukamwagwa juu ya nchi. theluthi moja ya nchi ikaungua, theluthi moja ya miti ikaungua, na majani yote mabichi yakaungua.

Englisch

the first angel sounded, and there followed hail and fire mingled with blood, and they were cast upon the earth: and the third part of trees was burnt up, and all green grass was burnt up.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

basi, pilato aliposikia maneno hayo akamleta yesu nje, akaketi juu ya kiti cha hukumu, mahali paitwapo: "sakafu ya mawe" (kwa kiebrania, gabatha).

Englisch

when pilate therefore heard that saying, he brought jesus forth, and sat down in the judgment seat in a place that is called the pavement, but in the hebrew, gabbatha.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Eine bessere Übersetzung mit
7,781,828,912 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK