Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
wengi wao wanakabiliana madhila ya kutengwa, kupuuzwa na upweke.
many of them face isolation, neglect and loneliness.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
wanawake wa eneo hilo wanakabiliwa na changamoto nyingi ambazo ni athari za vita na kupuuzwa na serikali kuu.
women in the area face many challenges inherited from the war and the general neglect of the central government.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
kukemewa vikali kumeonekana kupuuzwa na #isis — ruwayda mustafah (@ruwaydamustafah) septemba 2, 2014
the strongest of condemnation seems pathetic in the face of #isis — ruwayda mustafah (@ruwaydamustafah) september 2, 2014
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
edom amejihusisha na uandishi wa habari ambao pamoja na kuwa uliambatana na kupuuzwa kwa uanaharakati wake, uanahabari wake umekuwa wa kukumbukwa na wa aina yake ya kipekee.
edom has done journalism along with her understated activism with a remarkable elegance.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
wakati nchi jirani ya rwanda inagonga vichwa vya habari na maadhimisho ya mauaji ya kimbari ya mwaka wa 1994 na kuongezeka kwa mvutano na ufaransa, burundi imeharibiwa katika kupuuzwa kwa mgogoro wa kisiasa na dalili za vurugu zinazoweza kusababisha mapigano mapya ya wahutu na watutsi.
while neighboring rwanda is making news with the commemoration of the 1994 genocide and the increased tension with france, burundi is marred in an overlooked political crisis and surge of violence that opposes, again, hutus and tutsis.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
@shadihamid: suala la marekeni "kuongoza" au "kuongoza kutokea nyuma" ni halisi na halipaswi kupuuzwa.
@shadihamid: issue of us "leading" vs. "leading from behind" is real & shouldn't be dismissed.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
@sheofnations: @simonallison kupuuzwa huko kunaleta maana kukifanywa na vyombo vya habari vya kimataifa, lakini ni tatizo sana inapotokea kuwa habari kuhusu bara hili zinachunjwa kupitia vyombo vya habari vya kimataifa.
@sheofnations: @simonallison makes sense for int'l content,but it's highly problematic that news about the continent is filtered through int'l media houses
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: