Sie suchten nach: kusimamisha (Swahili - Englisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

English

Info

Swahili

kusimamisha

English

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

serikali kusimamisha hali hii.

Englisch

tunisian government to stop this situation.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

hata hivyo, tunatiwa wasiwasi na uamuzi wa jeshi kumwondoa rais morsi na kusimamisha katiba ya nchi hiyo.

Englisch

nevertheless, we are deeply concerned by the decision of the egyptian armed forces to remove president morsy and suspend the egyptian constitution.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

wanablogu hao walitumia huduma ya twita kuchunguza swala hilo na kuitia shinikizo serikali ya ugiriki kusimamisha usafirishwaji wa silaha hizo.

Englisch

they used twitter to investigate the matter and put pressure on the government to halt the transfer.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kanisa katoliki lenye ushawishi mkubwa nchini humo limeunga mkono madai ya upinzani ya kusimamisha shughuli yoyote ya kupitia upya ratiba ya uchaguzi.

Englisch

the very influential catholic church has backed the opposition request to forego any revision to the planned electoral calendar.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

huduma ya google sms. tuma zuia ili kuzuia ujumbe kutoka kwa mtu huyu, tuma ruhusu kuacha kumzuia. tuma zima ili kusimamisha huduma ya sms kwa muda.

Englisch

google sms service. send block to block messages from this person, send permission to stop blocking. send off to suspend sms service temporarily.

Letzte Aktualisierung: 2021-05-23
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

kuweni wenye kusimamisha uadilifu, mtowao ushahidi kwa ajili ya mwenyezi mungu, ijapo kuwa ni juu ya nafsi zenu, au wazazi wawili na jamaa zenu.

Englisch

stand firmly for justice, as witnesses to god, even if against yourselves, or your parents, or your relatives.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

wataalamu wetu wa kisiasa wanaonukuliwa sana hawajui ni nini wanachokizungumzia… wanashupalia kuchambua siasa kwa mitazamo ilei le ya kizamani na walionekana kusimamisha maono yao kwa hulka badala ya utafiti na tabaruku.

Englisch

our most cited political pundits simply do not know what they are talking about... they kept analsising politics along the same old lines and seemed to base their views based only on whim srather than research and reflection.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

enyi mlio amini! kuweni wenye kusimamisha uadilifu, mtowao ushahidi kwa ajili ya mwenyezi mungu, ijapo kuwa ni juu ya nafsi zenu, au wazazi wawili na jamaa zenu.

Englisch

believers, be maintainers of justice and witnesses for allah, even though it is against yourselves, your parents, or your kinsmen, whether he is rich or poor, allah has more rights over both of them.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

hii imesababisha wacheza kamari wengi kuelekea mtandaoni, na tovuti nyingi za kucheza kamari mtandaoni zikiripoti kuongezeka kwingi katika viwango vya wanaojiandikisha.sekta ya burudani imeathiriwa pia, na vikundi vingi za muziki kusimamisha au kufuta safari za maonyesho.

Englisch

this has led many gamblers to move online, with many online gambling sites reporting significant increases in their rates of new sign-ups.the entertainment industry has also been affected, with various music groups suspending or cancelling concert tours.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

huko hungary, bunge ilipiga kura kuruhusu waziri mkuu, viktor orbán, kuongoza kisheria kwa muda usiojulikana, kusimamisha bunge pamoja na uchaguzi na kuadhibu wale walioonekana kueneza taarifa za uongo kuhusu virusi na usimamizi wa serikali kwa hali ya hatari.

Englisch

in hungary, its parliament voted to allow the prime minister, viktor orbán, to rule by decree indefinitely, suspend parliament as well as elections and punish those deemed to have spread false information about the virus and the government's handling of the crisis.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

kusimamisha ya kazi na shughuli na matukio ya michezo imeagizwa tayari katika maeneo haya."mnamo 4 machi, serikali ya italia iliagiza kufungwa kabisa kwa shule zote na vyuo vikuu nchini wakati italia ilifikia vifo 100.

Englisch

suspension of work activities and sports events has already been ordered in those areas."on 4 march, the italian government ordered the full closure of all schools and universities nationwide as italy reached 100 deaths.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Eine bessere Übersetzung mit
7,766,180,635 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK