Sie suchten nach: lilifanyika (Swahili - Englisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

English

Info

Swahili

lilifanyika

English

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

jambo hili lilifanyika ili yale yaliyosemwa na nabii yatimie:

Englisch

all this was done, that it might be fulfilled which was spoken by the prophet, saying,

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

jambo hilo lilifanyika mara tatu, na mwishowe vyote vilirudishwa juu mbinguni.

Englisch

and this was done three times: and all were drawn up again into heaven.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

shambulio hilo lilifanyika wakati wakristo hao walipokuwa wakitoka kanisani mara baada ya misa ya krismas.

Englisch

their mission was to console the families of the victims and to take a stance against sectarianism.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

mara huyo mtu akapona, akachukua mkeka wake, akatembea. jambo hili lilifanyika siku ya sabato.

Englisch

and immediately the man was made whole, and took up his bed, and walked: and on the same day was the sabbath.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

shambulio hilo lilifanyika usiku wa maneno kwenye mkahawa unaoitwa took terrasse kwenye mitaa ya bamako na watu zaidi ya kumi wamejeruhiwa vibaya.

Englisch

the attack took place around midnight in a restaurant called la terrasse in downtown bamako and a dozen people are seriously injured.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

habari mpya - zoezi la kuwahamisha watu kaskazini mwa chile lilifanyika kwa utulivu, kwa mujibu wa mwandishi wetu aliyeko arica.

Englisch

latest news - evacuation in northern chile carried out calmly, according to our correspondent in arica.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kwa mara ya kwanza nilijaribu kulipuliza vuvuzela wiki mbili zilozopita, mwanzoni mwa kombe la mabara ambalo lilifanyika afrika kusini kabla ya kombe la dunia la mwaka ujao.

Englisch

i first tried to blow a vuvuzela two weeks ago, at the start of the confederations cup which has been held in south africa ahead of next year’s world cup.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

jambo hili lilifanyika kusudi ile baraka aliyopewa abrahamu iwashukie watu wa mataifa mengine kwa njia ya kristo, na ili kwa imani, tumpokee yule roho ambaye mungu alituahidia.

Englisch

that the blessing of abraham might come on the gentiles through jesus christ; that we might receive the promise of the spirit through faith.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

hapo awali, mwezini huu, kongamano jingine lilifanyika mjini dakar, senegali na nchi nyingi kama uganda, kenya, zambia na tunisia ziliwakilishwa.

Englisch

earlier this month, a workshop was held in dakar, senegal and several countries including uganda, kenya, senegal, zambia, and tunisia.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

tukio la kwanza kama hili lilifanyika novemba 15 2013 na liliwaleta si tu watu wanaojua masuala ya kidijitali, lakini pia mashirika makubwa yaliyo mstari wa mbele katika uandishi huu mpya na wale walioshiriki katika kukuza uandishi wa habari za kiraia nchini uganda.

Englisch

this first of a kind event will be held on november 15th 2013 and will bring together not just the digitally aware, but also corporate organizations at the forefront of new media and those who have contributed to the growth of social media in uganda.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

akakaa huko mpaka herode alipokufa. jambo hilo lilifanyika ili neno alilosema bwana kwa njia ya nabii litimie: "nilimwita mwanangu kutoka misri."

Englisch

and was there until the death of herod: that it might be fulfilled which was spoken of the lord by the prophet, saying, out of egypt have i called my son.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

shauri la kwanza kusikilizwa katika kesi ya dk al-khadar lilifanyika mnamo februari 20, alipomwomba hakimu kujitoa kwenye shauri hilo kwa sababu ya mgongano wa zamani wa kimaslahi aliwahi kuwanao, lakini hakimu aligoma.

Englisch

the first hearing session in dr. al-khadar's trial was on february 20th, when he asked the judge to withdraw from the case because of a previous personal conflict that they had had, but the judge refused.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

shauri la leo lilifanyika katika mji wa saudi arabia, buraydah na kuhudhuriwa na mamia ya wafuasi wa acpra, lakini hakimu hakuruhusu wanawake, akisema kuwa "wanaume wanatosha."

Englisch

today's session was held in the saudi arabian city of buraydah and it was attended by tens of acpra supporters, but the judge allowed no women, saying that "men are good enough."

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

naye akaingia ndani ya nyumba ya mungu, akala ile mikate iliyowekwa mbele ya mungu. jambo hili lilifanyika wakati abiathari alikuwa kuhani mkuu. na ni makuhani tu peke yao waliokuwa wameruhusiwa kula mikate hiyo. lakini daudi aliila, tena akawapa na wenzake."

Englisch

how he went into the house of god in the days of abiathar the high priest, and did eat the shewbread, which is not lawful to eat but for the priests, and gave also to them which were with him?

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Eine bessere Übersetzung mit
7,779,066,238 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK