Sie suchten nach: mablanketi (Swahili - Englisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

English

Info

Swahili

mablanketi

English

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

mlete mablanketi.

Englisch

bring some blankets.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

changia ili usaidie watoto kupata mavazi, viatu na mablanketi kwa watoto, toa msaada kwa vitu muhimu vitakavyowasaidia watoto wakati wa baridi, hususani kwa ajili ya watoto wachanga.

Englisch

donate to save the children to provide warm clothes, shoes, and blankets for children providing winter aid packages specially-made for infants.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

nilimuuliza ikiwa wapata joto ikiwa madirisha yao yako wazi wakati wote yakipitisha upepo, akaniambia wakati wakilala wanajifunika na na tabaka nyingi za mablanketi kadiri inavyowezekana, lakini wakati wa mchana na jioni baridi si kali sana.

Englisch

i asked her if they were keeping warm with the windows always open to the wind, and she said when they sleep they wear as many layers as they can and are covered in as many blankets as possible, but during the day and evening it does get very cold.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

mjini valencia, wanafunzi wameamua kuandamana kupinga kupungua kwa bajeti kwa kuwa kunaathiri shule zao. imefika mahali wanalazimika kwenda na mablanketi kwa sababu ya kukosekana kwa vipasha joto, katika msimu huu wa baridi kali barani ulaya.

Englisch

in valencia, school children decided to protest budget cuts that affected their schools, forcing them to carry blankets with them due to lack of heating, in what has been a particularly cold winter in europe.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kwa kushirikiana na wizara ya afya ya guinea, unicef imepeleka tani tano za madawa na vifaa vya matibabu kama vile glovu za mikononi, vitambaa, mablanketi, vitambaa vya kufunika uso, na maji ya kupunguza upungufu wa maji mwilini kuwalinda wafanyakazi wa afya na kuwatibu wagonjwa.

Englisch

in collaboration with the guinean ministry of health, unicef has delivered in most affected areas five tons of medicines and medical equipment such as gloves, plastic mats, blankets, nose guard, and rehydration solutions to protect medical staff and treat patients.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
7,776,377,802 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK