Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
hivi karibuni, rais wa chama cha jumuiya ya wahamiaji wa guinea-bissau waishio marekani, celina spencer, pia alizindua madai yaliyoelekezwa kwa tume ya haki za binadamu ya umoja wa mataifa, kujaribu na kupata msaada wa kujua aliko mwandishi huyo.
recently, the president of the association of community of guinea-bissau immigrants in the united states, celina spencer, also launched a petition directed to the un high commission of human rights, to try and get support to locate the journalist.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
pamoja na kupata msaada wa watu maarufu na mafanikio ya filamu ya "difret," ashenafi na mandrefo wanasema kazi yao bado haijakamilika: wanakadiria kwamba si chini ya asilimia 20 ya ndoa kusini mwa athiopia zinatokana na mila inayofanana na telefa.
despite the big-name support and the success of "difret," ashenafi and mandrefo say their work is not done: they estimate that at least 20 percent of marriages in the south of ethiopia are coerced through some form of telefa.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
Einige menschliche Übersetzungen mit geringer Relevanz wurden ausgeblendet.
Ergebnisse mit niedriger Relevanz anzeigen.