Sie suchten nach: manane (Swahili - Englisch)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

niliwasili kule tarle usiku wa manane.

Englisch

i arrived in tarle at midnight.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

gerezani ina maeneo manane, lakini "eneo" la tisa inawashiria ethiopia.

Englisch

the prison has eight zones, but the ninth "zone" refers to the rest of ethiopia.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

heri yao watumishi hao ikiwa bwana wao atawakuta wanakesha hata ikiwa atarudi usiku wa manane au alfajiri.

Englisch

and if he shall come in the second watch, or come in the third watch, and find them so, blessed are those servants.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

hatujapata salamu za pole zilizotolewa usiku wa manane kutoka kwa watu maarufu zaidi duniani pamoja na mamilioni ya watumiaji wa mtandao.

Englisch

we do not get late night statements from the most powerful men and women alive and millions of online users.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

ilikuwa inaelekea usiku wa manane wakati milipuko hiyo ikitokea, shambulizi ambalo liliwaacha watu sabini wakiwa wamefariki papo hapo na wengine kujeruhiwa.

Englisch

it was approaching 12am when the bombs took off, leaving over 70 people dead on the spot and others injured.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kwa hiyo muelewe, kwa maneno rahisi, huenda hata ya kijinga, kwa sababu ninaadika usiku wa manane na sikutumia marejeo yoyote.

Englisch

so here you have it, in very simple words, perhaps even naive, because i am writing this in the middle of the night and did not use any references.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

bw jean francois labadie, mmoja wa walionusurika alituma taarifa alizokusanya kuhusu janga hilo muda mfupi baada ya usiku wa manane leo hii alfajiri:

Englisch

survivor jean francois labadie posted his recollections of the disaster a few hours after midnight this morning:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

mwanafunzi jijini kyiv, ukraine alitwiti kuanzia alfajiri mpaka usiku wa manane wakati wa siku ya mapigano kati ya waandamanaji na polisi yalisababisha vifo zaidi ya 25 na mamia wengine wakijeruhiwa.

Englisch

a student in kyiv, ukraine tweeted from morning till past midnight on the day of a violent standoff between protesters and police which led to as many as 25 deaths and many hundreds wounded.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kesheni, basi, kwa maana hamjui mwenye nyumba atarudi lini; huenda ikawa jioni, usiku wa manane, alfajiri au asubuhi.

Englisch

watch ye therefore: for ye know not when the master of the house cometh, at even, or at midnight, or at the cockcrowing, or in the morning:

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kwa mujibu wa maoni kadhaa, baadhi ya vituo vya upigaji kura vilifunguliwa usiku wa manane wa siku ya jumamosi, ambapo wasimamizi wasaidizi wa zoezi hilo waliruhusiwa kuingia, na kuwapa fursa raia kutoka ndani na nje ya nchi kupiga kura.

Englisch

according to some comments, some voting centers opened their doors to the first assistants on saturday at midnight, and they continue welcoming citizens from inside the country and abroad.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

wanapinga mambo mawili makubwa: 1) wapenzi wao kupuuza majukumu yao ya kifamilia kwa sababu ya kuangalia mpira usiku wa manane; 2) tabia za kucheza kamari kwa mashindano hayo.

Englisch

they are primarily pissed about two things: 1) their partners neglecting family responsibilities due to late-night game watching; 2) reckless gambling on games.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
8,932,620,507 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK