Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
hali zilizoripotiwa zaidi zilikuwa kisukari, ugonjwa sugu wa mapafu na ugonjwa wa matatizo ya moyo.
the most commonly reported conditions were diabetes mellitus, chronic lung disease, and cardiovascular disease.
madhara ya muda mrefu kwa watu waliopona hayajulikana bado, lakini kuna ushahidi wa kupungua kwa uwezo wa mapafu katika baadhi ya wagonjwa waliopona.
long-term effects for people who have recovered remain unclear, but there is evidence of reduced lung capacity in some recovered patients.
hata hivyo, dozi za juu za steroids hazikuwa na manufaa kwa jeraha mbaya la mapafu kwa wagonjwa wa sars na covid-19.
however, steroids at high dosages were not beneficial to severe lung injury in sars and covid-19 patients.
kando na nimonia inayosambazwa kijamii na kuziba kwa njia za hewa kwenye mapafu, hcov-hku1 iliripotiwa kuhusishwa na ongezeko kali la kufungana kwa pumu.
besides community-acquired pneumonia and bronchiolitis, hcov-hku1 was reported to be associated with acute asthmatic exacerbation.
dalili kali mara nyingi hutokana na kuchochewa sana na kinga ya mwili kupigana kupita kiasi na mlipuko wa saitokini ambapo kinga ya mwili likiwa thabiti sana, mapafu huharibika zaidi.
the severe symptoms are mainly due to the hyperactivation of immune response and the cytokine storm wherein the stronger the immune response, the more severe the lung damage.
ace2 ni protini ya utando wa aina i ya njia moja, kikoa chake kinachotumika cha kumeng'enya kikiwa kwenye sehemu ya juu ya seli katika mapafu na tishu nyingine.
ace2 is a single-pass type i membrane protein, with its enzymatically active domain exposed on the surface of cells in lungs and other tissues.
baadhi ya taratibu za kimatibabu kama vile kuingiza tubu na kufufua moyo na mapafu (cpr) kunaweza kusababisha majimaji ya pumu kugeuzwa kuwa hewa na hivyo kusababisha maenezi kupitia hewa.
some medical procedures such as intubation and cardiopulmonary resuscitation (cpr) may cause respiratory secretions to be aerosolised and thus result in airborne spread.
data ya mpangilio wa rna ya seli moja ilionyesha kuwa tmprss2 inaonyeshwa sana katika tishu na tovuti kadhaa za mwili na inaonyeshwa pamoja na ace2 katika seli za epithelial za pua, mapafu na matawi ya bronchi, ambayo inaelezea baadhi ya tropism ya sars cov2.
sars-cov2 pseudovirus entry assays revealed that tmprss2 and cathepsin l have cumulative effects with furin on activating virus entry.
Letzte Aktualisierung: 2021-11-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
ace2 inapatikana katika viungo vingi: ace2 imeambatishwa kwenye utando wa seli za alveola aina ii za mapafu, enterosaiti ya utumbo mdogo, mishipa na seli za mwisho za vena na seli za mishipa laini ya misuli katika viungo vingi.
ace2 is present in most organs: ace2 is attached to the cell membrane of mainly lung type ii alveolar cells, enterocytes of the small intestine, arterial and venous endothelial cells and arterial smooth muscle cells in most organs.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
aina ya kwanza ya hcov-229e ilitolewa kwa njia ya kupumua ya wagonjwa waliokuwa na maambukizi ya sehemu ya juu ya njia ya kupumua katika mwaka wa 1966, na baadaye iliendelea kukua katika mikondo ya seli za mapafu ya wi-38.
the first hcov-229e strain was isolated from the respiratory tract of patients with upper respiratory tract infection in the year of 1966, and was subsequently adapted to grow in wi-38 lung cell lines.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz:
ace2 iliyounganishwa ya binadamu (rhace2) imechukuliwa kuwa matibabu mapya ya majeraha makali ya mapafu, na ilionekana kuboresha mzunguko wa damu mwilini na ukolevu wa oksijeni katika nguruwe wadogo walio na ugonjwa uliosababishwa wa shida kali ya mfumo wa kupumua wa lipopolysaccharide.
recombinant human ace2 (rhace2) is surmised to be a novel therapy for acute lung injury, and appeared to improve pulmonary hemodynamics and oxygen saturation in piglets with a lipopolysaccharide-induced acute respiratory distress syndrome.
Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Referenz: