Sie suchten nach: mienendo (Swahili - Englisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

English

Info

Swahili

mienendo

English

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

mwaka mpya na mienendo ya zamani nchini bahrain

Englisch

new year and old habits in bahrain · global voices

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

luis carlos pia anakazia ukweli unaotakiwa kuwa sehemu ya tafakuri za mienendo yote ya kisiasa:

Englisch

luis carlos also highlighted a fact for reflection by all political tendencies:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

awali ya yote jueni kwamba siku za mwisho watakuja watu ambao mienendo yao inatawaliwa na tamaa zao mbaya. watawadhihaki ninyi

Englisch

knowing this first, that there shall come in the last days scoffers, walking after their own lusts,

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

inside-out china ametafsiri taarifa inayosimulia habari kutoka kwa walio ndani kuhusu mienendo ya wen jiabao kule copenhagen.

Englisch

inside-out china translated a local report telling an insider story on wen jiabao's schedule in copenhagen.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

hivi karibuni wanablogu walijadili athari ya kuishi ughaibuni kwa mienendo ya wamadagascar na jinsi mabadiliko hayo yanavyoathiri uhusiano na marafiki na ndugu zao walio nyumbani.

Englisch

bloggers recently discussed the impact of living abroad on the behavior of malagasies and how it alters their relationships with their friends and relatives back home.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

walichunguza pia mienendo ya kusambazwa kwa homa ya mafua ufaransa katika likizo ya shule ya ufaransa na kusema kuwa visa vya homa ya mafua zilipunguwa wakati shule zilifungwa na kuzuka tena wakati walifungua tena.

Englisch

they also looked at the dynamics of the spread of influenza in france during french school holidays and noted that cases of flu dropped when schools closed and re-emerged when they re-opened.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

katika mataifa yanayoendelea, viwango vya vifo vya watoto vinavyohusiana na magonjwa ya kupumua na kuendesha vinaweza kuzuiwa kwa kuanzisha mabadiliko ya mienendo rahisi, kama vile kuosha mikono kwa sabuni.

Englisch

in developing countries, childhood mortality rates related to respiratory and diarrheal diseases can be reduced by introducing simple behavioral changes, such as hand washing with soap.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kusipokuwepo chaguo mbadala, wazazi wanaofanya kazi mara nyingi huwaacha watoto pekee yao shule zinapofungwa na hii inaweza kusababisha mienendo hatari, ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa shinikizo la wanarika na matumizi ya dawa za kulevya.

Englisch

in the absence of alternative options, working parents often leave children alone when schools close and this can lead to risky behaviours, including increased influence of peer pressure and substance abuse.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

baadhi ya nchi na maeneo, hasa katika maeneo yaliyoathirika sana, yanasitisha shughuli za kawaida na vikwazo kwa mienendo na shughuli za watu, hata kwa wale ambao hawasafiri ng'ambo hivi karibuni.

Englisch

some countries and regions, especially severely affected ones, are implementing emergency lockdowns and restrictions on people's movements and activities, even for those who haven't recently been abroad.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

hata kama asilimia ni 1% ya taifa la watu laki 121 inaweza kubadili mienendo yake, nafikiri harakati za aamir khan (za ujenzi wa maadili) na vituko vyake vya kuvutia biashara vitaendelea kutuvutia.

Englisch

even if 1% of this 121 crore strong nation is able to change its attitude, i think aamir khan’s endless gyaanbazi (edification) and the so-called irritating marketing gimmicks will be palatable to us.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
7,750,036,412 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK