Sie suchten nach: mmomonyoko wa maadili (Swahili - Englisch)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

mmomonyoko wa maadili

Englisch

moral erosion

Letzte Aktualisierung: 2022-08-26
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

akimnukuu miria matembe, waziri wa zamani wa maadili na uadilifu, jackie asiimwe alisema:

Englisch

quoting miria matembe, a former minster of ethics and integrity, jackie asiimwe said:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

japokuwa ipo nchini azerbaijan, blogu hiyo inabaini mfumo unaofanana wa maadili katika eneo lote la caucasus na inaongelea kuhusu dhana na taratibu za namna hiyo za mfumo dume.

Englisch

although based in azerbaijan, the blog notes the same value system throughout the entire caucasus and speaks out about such patriarchal concepts and practices.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

kama tunachukulia vifaa vinavyoonekana kama vile manga au sinema, sheria imetafsiri neno ukosefu wa maadili kwenye ibara hii kama kuonesha vinyweleo vya sehemu za siri, sehemu za siri za watu wazima na tendo la ngono.

Englisch

if we consider visual material such as manga or cinema, the law has interpreted the term obscenity in this article as the exposure of pubic hair, the adult genitals and the sexual act.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

katiba ya nchini kambodia inatoa uhuru wa kupashana habari lakini wanahabari wanazidi kunyanyaswa na kuuawa, hususani kwa waandishi wanaopasha habari kuhusiana na ukiukwaji wa maadili unaofanywa na maafisa wa serikali pamoja na upashaji habari wa masuala ya kibiashara yanayohusishwa na viongozi wakubwa serikalini.

Englisch

cambodia's constitution guarantees freedom of speech but journalists are still harassed and killed, especially those who report about the abuses committed by local officials and business interests with ties to powerful leaders.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

ninafikiri kuwa, kutoa mimba ni chaguo la kila mwanamke kwa kuzingatia kanuni na taratibu zake za kimaadili, na kwa hakika kabisa, siyo swala la wabunge, wanasaikolojia, walimu wa maadili na wengineo.

Englisch

i think abortion is a choice of every individual woman, her moral and ethical principles, and definitely not the mps, psychologists, public moralizers and so on.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

hata kama asilimia ni 1% ya taifa la watu laki 121 inaweza kubadili mienendo yake, nafikiri harakati za aamir khan (za ujenzi wa maadili) na vituko vyake vya kuvutia biashara vitaendelea kutuvutia.

Englisch

even if 1% of this 121 crore strong nation is able to change its attitude, i think aamir khan’s endless gyaanbazi (edification) and the so-called irritating marketing gimmicks will be palatable to us.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

...hakuna kifungu kwenye ibara hii, kinachotafsiri neno "ukosefu wa maadili" na "si watawala wa serikali wala mahakama zililazimishwa kufafanua kile kinachoitwa "vitu visivyo vya kimaadili".

Englisch

...there is not a clause in this article, which defines the term "obscenity" and "neither government administrators nor the courts were legally compelled to specify what constituted "obscene material".

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Eine bessere Übersetzung mit
7,749,091,362 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK