Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
ilan eshel, mkurugenzi wa shirika la wakulima wa matunda nchini israeli, alisema kuwa nchi za kiskandinavia pia zimekuwa zikisitisha uagizaji.
ilan eshel, director of the organization of fruit growers in israel, said scandinavian countries have also been canceling orders.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
twiti hii inatukumbusha tukio lililosababisha mapinduzi ya kiarabu, mwezi desemba 2010, wakati mchuuzi wa matunda wa kitunisia mohammed bouazizi kujilipua kwa moto.
this tweet brings back to our memories the spark which ignited the arab revolutions, in december 2010, when tunisian fruit vendor mohammed bouazizi set himself on fire.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
wakulima wanasema kwamba mazao yao mengi yamezuiliwa kwenye maghala kutokana na kusitishwa kwa ununuzi, na kuna hofu ya kupungua kwa uuzwaji wa matunda kuelekea nchi kama vile jordan, uingereza na nchi za skandinavia.
farmers say much of their produce is being held in warehouses due to canceled orders, and fear a sharp decrease in fruit exports to countries such as jordan, britain, and the scandinavian countries.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
mfanyabiashara ya migahawa wa kiindonesia puspo wardoyo anatoa 'maji ya matunda ya ndoa za mitala', mchanganyiko wa matunda manne, na mboga za mitala, mseto wa mboga nne, kwenye migahawa yake.
indonesian restaurateur puspo wardoyo offers "polygamy juice", a mixture of four tropical fruits, and "polygamy vegetables", a four-vegetable combo, in his restaurants.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
akizungumzia ununuzi wa matunda mjini yaounde, mfanyakazi wa kujitolea wa shirika la kujitolea la marekani (u.s. peace corps ) anayeblogu kwenye adventures of aubrey inaelekea amekuwa akibishana kidogo juu ya bei ya matofaa.
speaking of buying fruits in yaounde, a u.s. peace corps volunteer blogging at adventures of aubrey seems to have been haggling a bit over the price of apples.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Einige menschliche Übersetzungen mit geringer Relevanz wurden ausgeblendet.
Ergebnisse mit niedriger Relevanz anzeigen.