Sie suchten nach: sahihi ya mwanafunzi (Swahili - Englisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

English

Info

Swahili

sahihi ya mwanafunzi

English

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

tafadhali ingiza id sahihi ya video

Englisch

please enter the correct video id

Letzte Aktualisierung: 2022-04-30
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

iran: maandano ya siku ya mwanafunzi kwenye youtube

Englisch

iran: student day demonstration on youtube · global voices

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

mahali na mahali ambapo leseni ya mwanafunzi ilitolewa

Englisch

has your learner's licence been sisnpended or revoked

Letzte Aktualisierung: 2023-11-10
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

@elizabethmateo: nalaani vikali mauaji ya mwanafunzi wa uasd.

Englisch

@elizabethmateo: i condemn the killing of the uasd student.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

matatizo ya kidiplomasia yazuka baada ya mauaji ya mwanafunzi wa kihindi

Englisch

diplomatic crisis erupts after indian student's murder

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

tunaamini katika nguvu sahihi na taarifa sahihi ya hali ya wanablogu kutoka eneo kamili.

Englisch

we believe in the power of accurate and factual reporting of the bloggers situation from the ground.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

blogu hiyo inakusudia kutangaza vyema sura sahihi ya somalia kwenye vyombo vya habari na vipaji vya watu wake, masuala ya urembo na raslimali asilia.

Englisch

the blog aims at promoting a more accurate media image of somalia and the potential of its people, beauty and natural resources.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

alama za udahili zinakokotolewa kwa kila mwanafunzi wa shule ya sekondari kwa kuzingatia ngazi ya mwanafunzi ya ufaulu, mitihani ya mwisho pamoja na vigezo vingine.

Englisch

admission points are calculated for each high school student on the basis of their grades, final exams and other obtained qualifications.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

maelfu ya waandamanaji hawakuujali utawala wa kiislamu leo kwa kuandamana wakati wa siku ya mwanafunzi, wakiimba kaulimbiu dhidi ya ali khamenei, kiongozi wa jamuhuri ya kiislamu, na wakipinga sera ya mambo ya nje ya serikali.

Englisch

thousands of protesters defied the islamic regime today by protesting during student day, chanting slogans against ali khamenei, the leader of the islamic republic, and protesting the government's foreign policy.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

"bila ya kuwa na vielelezo sahihi ya vina vya mafuriko katika sehemu zinazoathirika mara kwa mara vitakavyosaidia mipango ya baadaye na pia utekelezaji wa miradi, tutaendelea kuwa na matatatizo yasiyo ya lazima yanayotokana na utekelezaji dhaifu wa vyombo husika.

Englisch

“thus unless we have proper records of flood levels in flood prone areas to guide future planning and implementation of projects, we will have more unnecessary problems due to poor implementations by the respective agencies involved in future.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

meena ameshatoa ujumbe wa kupinga ndoa za utotoni na utamaduni wa utoaji mahari, ikiwa ni pamoja na kupigia chapuo matumizi sahihi ya vyoo, kuwapeleka watoto wa kike shuleni, usawa wa kijinsia miongoni mwa watoto wa kike na wa kiume pamoja na haki ya elimu kwa wafanyakazi wa ndani.

Englisch

meena has spread messages to stop child marriage and the practice of dowry and promote healthy toilet use, sending girls to school, equality between boys and girls and the right to education for the domestic workers.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

wale wanaoukosoa wimbo huu kwa mtazamo wa kimuziki wapo sahihi kabisa. lakini wanatakiwa kupata tafsiri sahihi ya wimbo huu: wimbo huu umefanikiwa kuwakilisha angalao hisia za watu wa tunisia, bila kujali kama wanatokea mitaa ya watu masikini au wanaishi maisha yanayozungumzwa katika wimbo huu au vinginevyo...

Englisch

those who criticize the song from a musical perspective are totally right. but, they need to see what is beyond the piece: the work has succeeded in transcribing part of what tunisians feel, whether they come from poor districts or not and whether they are living the everyday life described in the song or not...

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

pamoja na kuwa mimi bado ni mdogo kiasi cha kushindwa kupiga kura (lakini nimeshakuwa na maamuzi sahihi ya kupiga kura kwenye uchaguzi unaofuata), mitandao ya kijamii kwa hakika imenifundisha mengi kuhusiana na hali ya kisiasa iliyopo hivi sasa na hivyo kuweza kujiandaa kuchagua chama ambacho ninafikiri na kuamini kuwa kitakuwa na manufaa kwa jamii yetu.

Englisch

information sharing has become viral not only during the start of the elections to my memory, this trend started since the mid or late 2011 when facebook users began sharing information that are not accessible via the traditional media such as tv or radio. although sovichet is still young and could not yet vote, he believes that information sharing through the internet can help him make an informed decision in the next election: although i am too young to vote (but i can already vote in the next election), social media has clearly educated me about the current situation so that i could be well prepared to choose a party that i think and hope would prove to be good for our society.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

daraja blog alikuwa mwepesi kutengeneza orodha sahihi ya 'vyanzo muhimu', ikiwa ni pamoja na tamko la baraza la habari tanzania na tamko la baraza la habari duniani, lakini pia daraja alifanya uchambuzi wa kina -akitaja bayana kwenye kichwa cha habari kwamba 'mstari umevukwa'.

Englisch

daraja blog was quick to produce a factual list of 'key sources', including links to tanzania's media council's statement and the world association of press council's statement, but daraja also did a thorough analysis - stating in the headline that "a line has been crossed".

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Eine bessere Übersetzung mit
7,792,994,753 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK