Sie suchten nach: silinde agizo la jafo (Swahili - Englisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

English

Info

Swahili

silinde agizo la jafo

English

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

anayepinga mamlaka ya viongozi anapinga agizo la mungu; nao wafanyao hivyo wanajiletea hukumu wenyewe,

Englisch

whosoever therefore resisteth the power, resisteth the ordinance of god: and they that resist shall receive to themselves damnation.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

gavana wa ohio, mike dewine alitangaza kuwa jimbo hilo liliongeza muda wa agizo la watu kukaa nyumbani hadi tarehe 1 mei.

Englisch

the governor of ohio, mike dewine, announced the state had extended its stay-at-home order until may 1.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kwenye taarifa iliyopo kwenye mtandao wao, somewhereinblog.net ilitangaza rasmi kuwa ilishaziondoa blogu hizo nne kama njia ya kutimiza agizo la serikali.

Englisch

in a report on its website, somewhereinblog.net officially acknowledged that it had removed the four blogs in line with the government request.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

hata hivyo, jukwaa la kublogu amarblog ilitoa tamko mnamo tarehe 22, machi 2013 linalosema kuwa haitahatarisha haki za siri za wanablogu kufuatia agizo la serikali.

Englisch

however, blogging platform amarblog published a statement on march 22, 2013 saying that it won't jeopardize bloggers' privacy at the request of the government.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

lópez, kiongozi wa chama cha voluntad popular, alitakiwa kujisalimisha kwa agizo la mahakama jijini caracas kwa kutuhumiwa kuhusika na makosa ya jinai yanayohusiana na maandamano yanayoendelea nchini venezuela.

Englisch

lópez, the leader of the voluntad popular party, had an arrest warrant that was issued against him by a court in caracas for allegedly being responsible for crimes related to the protests taking place in venezuela.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

agizo la kukamatwa linayotolewa na icc katika mazingira mapya litakuwa na uzito, hivyo kutolewa kwake kutakuwa na manufaa kama zana ya kumshinikiza omar al-bashir kutengeneza mazingira yatakayoleta amani katika darfur na kutekeleza mkataba wa amani sudani ya kusini, cpa.

Englisch

an icc arrest warrant issued within this new context will now have more weight, and hence its potential issuance will probably be more useful as a tool for pressuring omar al-bashir to act in favor of peace in darfur and implementing the cpa.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

mnamo 22 machi, chombo cha habari ya associated press iliripoti: "watu wengi ambao wana dalili na agizo la daktari wamesubiri kwa masaa au siku nyingi kupimwa."baada ya kifo cha kwanza marekani iliripotiwa katika jimbo la washington mnamo 29 februari, gavana jay inslee alitangaza hali ya dharura, kitendo kilichofuatwa na majimbo mengine.

Englisch

on 22 march, the associated press reported: "many people who have symptoms and a doctor's order have waited hours or days for a test."after the first death in the united states was reported in washington state on 29 february, governor jay inslee declared a state of emergency, an action that was soon followed by other states.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Einige menschliche Übersetzungen mit geringer Relevanz wurden ausgeblendet.
Ergebnisse mit niedriger Relevanz anzeigen.

Eine bessere Übersetzung mit
7,770,492,698 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK