Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
kutokea jordan, khobbeizeh pia anaandika kuhusu ususiaji wa starbucks:
from jordan, khobbeizeh also wrote about boycotting starbucks:
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
starbucks, tawi maarufu la starbucks mjini beirut lilifungwa kwa siku moja kufuatia maandamano ya kulipinga.
starbucks, the famous starbucks branch was closed in beirut for a day because of the protests.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
miongoni mwa maduka yote yenye chapa ya marekani, starbucks ndio iliyokuwa inalengwa zaidi na kampeni hizo za kususia.
among all the american brands, starbucks was the main target of the boycotting campaigns.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
anawaunga mkono na mamia ya mamilioni kila mwaka kutoka katika kipato cha starbucks, ni mmoja wa wadhamini wakubwa wa silaha.
he is supporting them with hundred of millions yearly from starbucks' income, and he's one of the major sponsors of their weaponry.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
mashirika ya kizawa yanawashawishi wafanyakazi wa coca-cola, kadhalika na wale wa starbucks na makampuni mengine, waziachee ajira zao.
local organizations are encouraging employees of coca-cola, as well as starbucks and other companies, to quit their jobs.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
uvumi wa starbucks-jeshi la israeli ni uvumi wa siku nyingi hata kabla ya kufungua tawi lake nchini misri, kampuni hiyo ilipingwa na ulimwengu wa waarabu.
starbucks-idf rumors are bit old rumours even before it opens its branches in egypt ,it was fought in the arab world.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
nakumbuka siku moja nilipokea barua pepe inayohusu nembo ya starbucks na historia yake, ikisema kwamba nembo hiyo ni alama ya binti mfalme wa kiebrania aliyewakomboa wayahudi waliokuwa babeli wakati wa zamani ilhali hilo ni jambo jingine kabisa.
i remember one day i received any email about the logo of starbucks and its history , saying that it is the hebrew princess that saved the jews in babylonian ancient time where in reality it is another whole thing.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
mimi si mshabiki wa starbucks, au kahawa, lakini suala la starbucks kuunga mkono jeshi la israeli kwa kiasi cha "mamia ya mamilioni kila mwaka" ni jambo ambalo ni vigumu kuaminika.
now, i’m no big fan of starbucks, or of coffee for that matter, but the notion that starbucks supports the idf to the tune of “hundred of millions yearly” is patently ludicrous.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
katika nchi tano za kiarabu kampeni mpya na nyeti iliyoratibiwa ili kususia bidhaa za kimarekani imezinduliwa, na migahawa ya kahawa ya starbucks ndio shabaha yake ya kwanza, ikifuatiwa kwenye orodha hiyo na maduka ya nestlè, coca-cola, johnson & johnson pamoja na burger king.
across five arab states a new and closely co-ordinated campaign to boycott american goods is being launched, with starbucks coffee shops their primary target, but with nestlé, coca-cola, johnson & johnson and burger king outlets also on the list.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung